C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Jan 5, 2025 #41 Magufuli 05 said: Dubai unaijua au unaisikia kwenye TikTok. Dubai na Zanzibar ni mbingu na ardhi. Labda Zanzibar inawezajitahidi kuifukuzia Mwanza na si Dubai Click to expand... Ni tajie sehemu yoyote mwanza yenye kua na maghorofa kama hayo?
Magufuli 05 said: Dubai unaijua au unaisikia kwenye TikTok. Dubai na Zanzibar ni mbingu na ardhi. Labda Zanzibar inawezajitahidi kuifukuzia Mwanza na si Dubai Click to expand... Ni tajie sehemu yoyote mwanza yenye kua na maghorofa kama hayo?
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Jan 5, 2025 #42 Stuxnet said: Zanzibar ni sehemu ya Muungano!! What's wrong? Click to expand... Wasimlaumu mama wamlaumu aliyeleta muungano,hawajui walikubaliana nini...
Stuxnet said: Zanzibar ni sehemu ya Muungano!! What's wrong? Click to expand... Wasimlaumu mama wamlaumu aliyeleta muungano,hawajui walikubaliana nini...
Be calm JF-Expert Member Joined May 20, 2023 Posts 3,766 Reaction score 8,959 Jan 5, 2025 #43 Mbaga Jr said: Labla Dubai ya Mbalizi - Mbeya Click to expand... Kuna nn
C Chief Sanze JF-Expert Member Joined Jun 13, 2014 Posts 1,668 Reaction score 3,736 Jan 5, 2025 #44 Sidhani katika dunia hii kuna nchi imejaa mazezeta kama Tanganyika! Tunatawaliwa na Raia wa kigeni na wenyewe tumetulia na ndiyo kwanza tunamsifia mtawala.
Sidhani katika dunia hii kuna nchi imejaa mazezeta kama Tanganyika! Tunatawaliwa na Raia wa kigeni na wenyewe tumetulia na ndiyo kwanza tunamsifia mtawala.