Hadi 75% ya akili zetu ni za kurithi (hereditary): Maamuzi yako kwenye ndoa ndiyo yatakayohukumu vizazi vyako

Akili bila mali ni sawa na debe tupu :
Kigezo 1 hela
Kigezo 2 hela
Kigezo 3 Pesa
Hata ukiwa mbumbumbu ukiwa na hela utaitwa mh
Umesema kabisa ukweli. Kila mtu akiwemo Mimi, nilitamani sana kupata hela but cha ajabu tangu nikiwa shule ya msingi miaka hiyo ya 1990s tena kijijini, niliaminishwa kuwa maisha mazuri yanapatikana kwa kusoma na kwa kuwa nilikuwa naogopa kuishia kuwa mkulima, nilijitahidi kusoma ili ni is hi vizuri hasa nikiangalia askari polisi, madaktari, walimu na viongozi wa tarafa na kata waliokuwa wakifanya kazi kijijini kwetu. Tena cha ajabu nilivutiwa sana na jinsi askari Polisi walivyokuwa wakiishi vizuri wakiwa na wake wazuri sana.
Of course, leo hii baada ya sekta binafsi kuwa na maslahi mazuri kuliko makundi ya watumishi niliyotaja, yanaweza kukufanya ukanishangaa kuvutiwa made makundi hayo but trust me, zamani hao ndio watu walioishi vizuri wilayani ukitoa watumishi wa Ofisi ya DC huku Halmashauri ndio zinaanza kupata nguvu.
Sasa, ukiniambia mimi mhenga, nitakwambia hela ilipatikana kwa kusoma tu na hadi leo Ndiyo njia pekee ya mkato kwa masikini kutajirika kwani mafanikio mengine ya kuwa na biashara kubwa huwa ni majaaliwa zaidi ama kuwa tayari kutumia wimbo wa 50 Cent "Get rich or die trying." Yaani uutafute kwa njia yoyote - kwa ujambazi, uchawi ama kujihusisha na madawa ya kulevya. Hivyo vyote you're likely to be doomed, but kadri kitu kinavyokuwa kizuri ndio risk yake inavyoongezeka.
 
Nashukuru sana mkuu kwa jibu lako ambalo nadhani litaniweka pazuri nisije kumhukum mtoto angali wahusika ni sisi wazazi. Maada sijachimba sana undami wa mama mtoto hivyo siwezi kujua kama ni mlolongo wa wasandawe ama wambulu. Lakini sura imekaa kaa kama kimbilu mbulu vile[emoji2] [emoji2] lakini yote ya yote maisha maisha lazima yaendelee. Uwe na nyakati njema mkuu thank so march.
Basi poa lakini usisahau kuwa, kuna makabila ambayo yana nguvu katika jeni (genes) zao kulinganisha na mengine na kwa uelewa wangu mdogo, ni makabila machache sana ambayo yanapozaa na mchaga, mtoto anafanana na hilo kabila, mostly huwa wanafanana na mzazi wa kichaga kutokana na nguvu za jeni zao, the same to the Nyakyusa or Haya.
 
Hii naiona kwenye familia yetu.
Tuko watot 3 .
Mim na mdogo Wang wa mwisho (ke) tumebarikiw kuwa na uwezo mkubwa darasn (si Saana) , na ninavyo sikia Mama yetu alikua na akili sana darasn kwao ni msichana Pekee alie faulu.
Ila uyu mdogo wangu wa 2 ,sio smart ana akili ya wastan tu ila ni mbunifu sana, kama ninavyo ona kwa Mzee Wetu.
 
Thanx kwa kuelekea with vivid examples. Unaweza ukafuatilia kwa nia ya kujifunza kwa majirani na marafiki zako pia, unaweza ukagundua kitu kama ukifuatilia asili zao na ufanano wa watoto.
Baadhi ya Wataalamu wa Genetics wanaeleza kuwa, akili za watoto ama wanadamu zinapitia kwa wajomba zetu (kaka/ukoo wa mama yako). Sina uhakika sana na hili lakini mimi tangu nikiwa mdogo niligundua hilo kwani ukiacha za darasani, natumia mashoto kama mjomba, pamoja na rangi ya kwao mama.
Lakini wakati mwingine watoto wanaenda kwa mama na wakati mwingine kwa baba kama ilivyo kwetu ambapo nusu tulikuwa weupe na nusu weusi. Hii inawezekana jeni za wazazi zilikuwa nguvu karibia sawa.
 
Hii naiona kwenye familia yetu.
Tuko watot 3 .
Mim na mdogo Wang wa mwisho (ke) tumebarikiw kuwa na uwezo mkubwa darasn (si Saana) , na ninavyo sikia Mama yetu alikua na akili sana darasn kwao ni msichana Pekee alie faulu.
Ila uyu mdogo wangu wa 2 ,sio smart ana akili ya wastan tu ila ni mbunifu sana, kama ninavyo ona kwa Mzee Wetu.
Vilevile, wakati wa kufanya tendo la ndoa kwa ajili ya kupata mtoto ni la muhimu sana.
Inashauriwa ukiwa unatafuta mtoto, usikutane na mwanamke kwa wiki nzima huku ukichukua muda mzuri wa kupumzika na kula vizuri. Ukifanya hayo, mtoto atakayetungwa atakuwa very strong kulinganisha na wakati unapokuwa umepiga mikingo ndani ya wiki, ama kama una mawazo mazito kama ya kukosa hela ama kuachwa na mchepuko uliokuwa umedata nao ama kama umefiwa.
Vilevile, wataalamu wanaeleza kuwa, baada ya kufikisha miaka 45, nguvu za mwanaume zinapungua taratibu so uwezekano wa kuzaa watoto wasio smart huwa ni mkubwa. Ndiyo maana vitinda mimba wengi huwa siyo that bright kulinganisha na watoto wa mwanzoni, japokuwa baadhi wanadai watoto wa kwanza wanafanikiwa kwa kuwa huwa wanakabiliwa na changamoto nyingi ama hupata mapenzi makubwa ya wazazi wao.
Hilo nalo ni la kibaiolojia zaidi sina uhakika nalo.
 
Umesema kabisa ukweli. Kila mtu akiwemo Mimi, nilitamani sana kupata hela but cha ajabu tangu nikiwa shule ya msingi miaka hiyo ya 1990s tena kijijini, niliaminishwa kuwa maisha mazuri yanapatikana kwa kusoma na kwa kuwa nilikuwa naogopa kuishia kuwa mkulima, nilijitahidi kusoma ili ni is hi vizuri hasa nikiangalia askari polisi, madaktari, walimu na viongozi wa tarafa na kata waliokuwa wakifanya kazi kijijini kwetu. Tena cha ajabu nilivutiwa sana na jinsi askari Polisi walivyokuwa wakiishi vizuri wakiwa na wake wazuri sana.
Of course, leo hii baada ya sekta binafsi kuwa na maslahi mazuri kuliko makundi ya watumishi niliyotaja, yanaweza kukufanya ukanishangaa kuvutiwa made makundi hayo but trust me, zamani hao ndio watu walioishi vizuri wilayani ukitoa watumishi wa Ofisi ya DC huku Halmashauri ndio zinaanza kupata nguvu.
Sasa, ukiniambia mimi mhenga, nitakwambia hela ilipatikana kwa kusoma tu na hadi leo Ndiyo njia pekee ya mkato kwa masikini kutajirika kwani mafanikio mengine ya kuwa na biashara kubwa huwa ni majaaliwa zaidi ama kuwa tayari kutumia wimbo wa 50 Cent "Get rich or die trying." Yaani uutafute kwa njia yoyote - kwa ujambazi, uchawi ama kujihusisha na madawa ya kulevya. Hivyo vyote you're likely to be doomed, but kadri kitu kinavyokuwa kizuri ndio risk yake inavyoongezeka.
Ukweli mchungu huuu"" hauna tofauti na sifongo
 
Mazao makuu ya chakula ya asili pamoja na matunda na mbogamboga yanayositawi kwa wingi Tanzania ni:
1: Mtama (sorghum);
2: Migomba (banana)
3: Uwele (millets);
4: Mpunga (paddy);
5: Mahindi (maize) ;
6: Mihogo (cassava) ;
7: Viazi vitamu (sweet potatoes);
8: Maharage (beans);
9: Kunde (cowpeas)
10: Viazi mviringo (potatoes);
11: Viazi vikuu (yams)
12: Karanga (groundnuts)
13: Njugu (peanuts)
14: Miwa (sugarcane);
16: Nyanya (tomatoes);
17: Vitunguu (onions);
18: Nazi (coconuts);
19: Karafuu (kloves);
20: Michikichi (oil palms)
21: Machungwa (oranges)
22: Maembe (mangoes)
23: Mananasi (Pinneaple)
24: Mapapai (pawpaws)
25: Maparachichi (avocado)
26: Peazi (Peas)
27: Mapera (guava)
28: Korosho (cashew nuts)
29: Mastafeli (soursop)
30: Zabibu (grapes)
31: Limao (lemons)
32: Tikitimaji (water melon)
33: Kakao (cocoa)
34: Majani ya maboga
35: Kisamvu
36: Figiri
37: Mchicha
38: Matembele
39: Mlenda
40: Samaki
41: Kuku na bata
42: Ng'ombe na mbuzi
43: Nguruwe.

Baadhi ya Jamii kubwa hapa Tanzania, hasa Wanyakyusa, Wahaya, Waha, Wachaga, Waluguru, Wahehe, Wabena na Wasambaa wana maeneo yenye hali ya hewa tofauti tofauti ya kuweza kuivisha mazao karibia yote yaliyotajwa hivyo kuziwezesha Jamii zao kuwa na afya njema.
Mfano: Wanyakyusa hawazalishi: zabibu, uwele, mtama, korosho na karanga pekee.
Wahaya wao hawazalishi: zabibu, kakao, korosho, mpunga na peas pekee.
Kuna Jamii nyingi Tanzania hazina uwezo wa kuzalisha kwa wingi nusu ya mazao na mifugo iliyoorodheshwa hapo juu, hivyo jeni (genetics) za asili zao zinakuwa dhaifu (weak) kulinganisha na jamii ambazo zina uwezo wa kuzalisha mazao mengi na mifugo mingi.
Makala nzuri, ila hadi sasa kwa maana ya nini kinachangia zaidi akili (intelligence) kati ya urithi (heredity) na mazingira (nurture) ni mjadala usio na ukomo. Kila upende ukitoa hoja mujarabu kutetea upande wake. Kuna pia tafiti nyingi zimefanyika juu ya haya mambo, kwa mfano wanamazingira waliamua kuwachukua mapacha wawili na kuwalea katika mazingira tofauti, baadaye walipopimwa IQ yao walionekana kuwa na utofauti mkubwa tofauti na wale walioachwa wakalelewa mazingira mamoja. Kwa hapa, wakahitimisha kuwa mazingira yana mchango mkubwa zaidi kwa akili yako. Katika kushabihisha hili, wanafunzi wengi wanaofeli shule za serikali sio kwamba hawakurithi akili nzuri toka kwa wazazi wao bali mazingira mabivu yasiyolisha ubongo wao sawasawa.
Pia hoja nyingine inayokataa kuwa akili huathiriwa zaidi na tabia ya kurithi toka kwa wazazi ni pale ambapo unakuwa na wazazi wenye akili sana ila watoto wakawa kinyume chake, yaani vilaza! Vilevile wazazi mambumbu kuwa na watoto vipanga.
Kuna tabia amabzo ni za kurithi na hazina mchango wa kimazingira kama vile urefu, rangi, hisia n.k.
 
Umesema kabisa ukweli. Kila mtu akiwemo Mimi, nilitamani sana kupata hela but cha ajabu tangu nikiwa shule ya msingi miaka hiyo ya 1990s tena kijijini, niliaminishwa kuwa maisha mazuri yanapatikana kwa kusoma na kwa kuwa nilikuwa naogopa kuishia kuwa mkulima, nilijitahidi kusoma ili ni is hi vizuri hasa nikiangalia askari polisi, madaktari, walimu na viongozi wa tarafa na kata waliokuwa wakifanya kazi kijijini kwetu. Tena cha ajabu nilivutiwa sana na jinsi askari Polisi walivyokuwa wakiishi vizuri wakiwa na wake wazuri sana.
Of course, leo hii baada ya sekta binafsi kuwa na maslahi mazuri kuliko makundi ya watumishi niliyotaja, yanaweza kukufanya ukanishangaa kuvutiwa made makundi hayo but trust me, zamani hao ndio watu walioishi vizuri wilayani ukitoa watumishi wa Ofisi ya DC huku Halmashauri ndio zinaanza kupata nguvu.
Sasa, ukiniambia mimi mhenga, nitakwambia hela ilipatikana kwa kusoma tu na hadi leo Ndiyo njia pekee ya mkato kwa masikini kutajirika kwani mafanikio mengine ya kuwa na biashara kubwa huwa ni majaaliwa zaidi ama kuwa tayari kutumia wimbo wa 50 Cent "Get rich or die trying." Yaani uutafute kwa njia yoyote - kwa ujambazi, uchawi ama kujihusisha na madawa ya kulevya. Hivyo vyote you're likely to be doomed, but kadri kitu kinavyokuwa kizuri ndio risk yake inavyoongezeka.
Bila Shaka wewe ni Muhenga uliyeona na kusoma vitu vingi. Nimependa ulivyo eleza na kutoa fact tupu
 
Makala nzuri, ila hadi sasa kwa maana ya nini kinachangia zaidi akili (intelligence) kati ya urithi (heredity) na mazingira (nurture) ni mjadala usio na ukomo. Kila upende ukitoa hoja mujarabu kutetea upande wake. Kuna pia tafiti nyingi zimefanyika juu ya haya mambo, kwa mfano wanamazingira waliamua kuwachukua mapacha wawili na kuwalea katika mazingira tofauti, baadaye walipopimwa IQ yao walionekana kuwa na utofauti mkubwa tofauti na wale walioachwa wakalelewa mazingira mamoja. Kwa hapa, wakahitimisha kuwa mazingira yana mchango mkubwa zaidi kwa akili yako. Katika kushabihisha hili, wanafunzi wengi wanaofeli shule za serikali sio kwamba hawakurithi akili nzuri toka kwa wazazi wao bali mazingira mabivu yasiyolisha ubongo wao sawasawa.
Pia hoja nyingine inayokataa kuwa akili huathiriwa zaidi na tabia ya kurithi toka kwa wazazi ni pale ambapo unakuwa na wazazi wenye akili sana ila watoto wakawa kinyume chake, yaani vilaza! Vilevile wazazi mambumbu kuwa na watoto vipanga.
Kuna tabia amabzo ni za kurithi na hazina mchango wa kimazingira kama vile urefu, rangi, hisia n.k.
Ni kweli wataalamu wamekuwa na ubishani juu ya yupi anadominate kati ya kurithi na makuzi. Kweli huwa inatokea mtoto wa wazazi vipanga kukosa akili. Lakini kwani Familia zenye cases za namna hiyo ni kama asilimia ngapi ya wazazi wenye akili ambao watoto wao pia wana akili? Nina hakika hawafiki 20% (1/5).
Sikubaliani na hoja ya mazingira magumu kumfanya mwenye akili nyingi kufeli, otherwise alikuwa normal.
Mimi kote nilikopitia, niligundua hasa nilipokuwa Chuo Kikuu kuwa, wanafunzi wengi waliosoma shule za matawi ya juu wanakuwa wazuri katika fluent English but materially wako empty.
Ingekuwa determinant ni mazingira, wengine tuliosoma shule za vijijini tungeishia kunawa na kuwaacha wa mijini tu.
Kwa nini Mchaga wa Kilimanjaro hana tofauti na aliyezaliwa na kukulia Kanda ya Ziwa ama Dar? Kama Wewe unatokea vijijini, haujawahi kugundua kuwa kwenye Kabila lako kuna koo zenye wasomi wengi huku nyingine ikiwa nyuma? Is it just a coincidence?
 
Kwa kiasi kikubwa kinachomtifautisha mkilimanjaro na msukuma ni mazingira ya hawa wawili. Ukitaka kujua nguvu ya mazingira, mchaga huyuhuyu akizaliwa usukumani anaweza asifanane na yule aliyezaliwa klmanjaro, hivyo hivyo msukuma aliyezaliwa Kilimanjaro anaweza asifanane kabisa na huyu wa usukumani. Ziko nadharia nyingi juu ya haya mambo mawili, mojawapo ni hii kwamba binadamu wote huzaliwa watupu kichwani, maarifa huletwa kwa kujifunza na uzoefu. Wako wengine ambao wapo katikati, wanaamini kuwa kila mtu huzaliwa na kiwango fulani cha uwezo wa akili, na namna ya kuufikia kilele cha huo uwezo hutengemea sana mazingira na uzoefu anaokutana nao.
Kwa ujumla ukiwaza vizuri utakubaliana na wanamazingira kwamba ndio msingi wa maendeleo ya mtu kiakili. Moja ya kipengele cha kiakili ni lugha, na hapa huwa tunajiuliza, je kuna uwezekano wa mtu kuzaliwa na kufungiwa mahali bila kuwasikia wanaoizungumza lugha husika na akaiifahamu? Jibu kwa hakika ni hapana. Hapa napo nguvu ya mazingira inajitokeza zaidi kuliko urithi.
 
Unajua pro-genetics (nature) huwa wanashindana na pro-environment (nurture) kwenye mambo ambayo hayajafafanuliwa vyema. Unapoongelea mtu kujifunza lugha, hiyo huwa inahitaji akili ndogo ya adaptation lakini utakuwa unafanya makosa kuniambia kuwa wanafunzi waliochaguliwa kuchukua shahada za udaktari, uhandisi na Sheria, walikuwa katika mazingira bora ya makuzi (nurture) kuliko waliopata zero na div. IV, nitakuwa wa mwisho kuamini kitu hicho.
Mimi katika usomaji wangu kuanzia F I - VI, ilikuwa ni kawaida kwangu kumaliza mwezi mmoja hadi miwili kila term kabla ya kupata karo na kwenda shuleni. Ninakumbuka mwaka mmoja sikufanya hadi mitihani ya midterm (miezi miwili na nusu) kutokana na changamoto ya Karo. Nilishinda Mitihani huku wengi kutoka the well-to-do families wakifeli.
Kwa nini wachezaji wengi bora kabisa wa Brazil - Pele, Garincha, Zico, Socrates, Romario, Ronaldo hawakuwahi kucheza shule za Academy za soka?
 
Mkuu hizi cases ni very rare, na hawa ni wale waliobarikiwa toka tumboni (gifted and talented) ni chini ya 10% ya watu wote duniani. Wengine wote tunaobaki mafanikio yetu yana nguvu ya mazingira yetu.
 
Doesn't make sense, unaposema 75% zimetoka kwa wazazi, unaweza kuniambia 25% anatoa kwa nani?
 
Mzee, ilivyo ni kwamba mtoto anapozaliwa akili zinazotegemea jeni ya mhusika huongezeka na kufikia asilimia hizo 75% katika umri wa mtu mzima, so hizo 25% zinakuwa zinatokana na mazingira aliyokulia na ku-interact nayo. La muhimu ni kuwa, kadri unavyokua ndio akili zako zinategemea nguvu ya familia, ukoo na kabila lako.
Mfano: Najua wakati unasoma shule, kuna wanafunzi walikuwa balaa darasani kuanzia la I - IV lakini kwa namna ya ajabu huwa baaadhi yao huanguka katika pecking order darasani huku wakiibuka wengine ambao awali walikuwa almost vilaza tu. Nimekutana nao wengi sana na infact, wasomi wengi wenye elimu ya juu hawakuwa vipanga sana huko Primary but as time went on, wakawa ndo hawakushikiki kabisa.
Ndiyo maana unaweza kukuta kuwa, kati ya wanafunzi 20 walioongoza Mitihani ya STD VII, hakuna hata mmoja katika top 10 ya form IV, huku hao wa F. IV nao huwa ngumu kujirudia huko A-Level, Y?
 
Back
Top Bottom