Hadi aibu, Warusi kwa uwoga wao walipua daraja huku wakitoroka

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jameni wazalendo wa Ukraine wanatembeza moto hadi naumwa aki ya nani, Warusi wameona ili kupunguza kasi ya kufukuziwa, wamelipua daraja na kutoroka.

Ukrainian armed forces have retaken another part of the Kherson region — the village of Tyahinka, near the strategic town of Nova Kakhovka — despite Russian forces destroying bridges on their way out.

A video circulating on social media Friday, geolocated and authenticated by CNN, shows Ukrainian troops being greeted by residents on the main highway in Tyahinka. The village is just 20 kilometers (about 14 miles) west of the hydroelectric dam and bridges that stretch across the Dnipro River at Nova Kakhovka.

A number of photos, also geolocated and authenticated by CNN, show that the Ukrainian forces were able to make their way into the village despite the main highway's bridge and a pedestrian bridge being destroyed by the Russians as they withdrew.

Those bridges cross the Tyahinka River, which flows into the Dnipro River.

Russia is pulling its troops back to the Dnipro's eastern bank, allowing the Ukrainians to reclaim territory west of the river.

Wale ma-pro fashisti humu siku hizi nao wamepoteana hadi aibu! Why are you supporting Russia in this saga? Mbona Marekani iliivamia Iraq? Eti hilo ndio jibu!
 
Hawakutegemea wanachokiona na kukisikia. Putin amewaangusha sana na usupa pawa wake wa mchongo haha
... wanatamani supa pawa afyatue nuke as per fashisti threats roho zao zisuuzike! Unfortunately, fashisti military activities are the mostly monitored activities under the Sun currently! Makomunisti wana ujinga sana.
 
Duh! Hii ni hatari,Ina maana tayari Ukraine wameshavuka upande wa pili wa mji wa kheson..ni kwamba wapo kwenye lango la Crimea [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ngoma inogile hiyo no looking back. Bado sehemu ndogo sana waimalize Kherson waingie Cremea. Ndiomana wanajeshi wa kirusi wakaona bora walipue madaraja ili kuslow down speed ya wanajeshi wa Ukraine kujia upande wa kusini ilipo Crimea.
 
We tulizana uone kipigo atakacho pewa Ukraine huyo kaingizwa hapo Kherson wakitoka wazima washukuru.

Hivi we Huna habari US ananua silaha za mizinga toka South Korea ili apeleke Ukraine au bado umelala. Afu mnamuita Superpower 😂
US intends to buy 100,000 rounds of artillery ammunition from South Korean arms manufacturers to provide to Ukraine.

Yani hi vita mwenye akili mbovu ndio anadhani Ukraine kashinda.

Mrusi klicho mungiza Ukraine niku iuwa Ukraine kiuchumi, kinguvu ya jeshi na kuwazuia kuingia Nato na hayo kisha yafanya.

Nyie oteni ndoto eti Ukraine anashinda vita.
 
Dah! We jamaa embu amka. Mpaka sasa Ukraine yupo huru kujiunga na Nato, pia kijeshi Ukraine kaiva mpaka anamkimbiza Mrusi kwa kichapo cha mbwa koko
 
Jameni wazalendo wa Ukraine wanatembeza moto hadi naumwa aki ya nani, Warusi wameona ili kupunguza kasi ya kufukuziwa, wamelipua daraja na kutoroka.

Ukrainian armed forces have retaken another part of the Kherson region — the village of Tyahinka, near the strategic town of Nova Kakhovka — despite Russian forces destroying bridges on their way out.

A video circulating on social media Friday, geolocated and authenticated by CNN, shows Ukrainian troops being greeted by residents on the main highway in Tyahinka. The village is just 20 kilometers (about 14 miles) west of the hydroelectric dam and bridges that stretch across the Dnipro River at Nova Kakhovka.

A number of photos, also geolocated and authenticated by CNN, show that the Ukrainian forces were able to make their way into the village despite the main highway's bridge and a pedestrian bridge being destroyed by the Russians as they withdrew.

Those bridges cross the Tyahinka River, which flows into the Dnipro River.

Russia is pulling its troops back to the Dnipro's eastern bank, allowing the Ukrainians to reclaim territory west of the river.

Wewe akili yako ni ya ushabiki tu hujui kitu, anachofanya Russia ni hiki wenye akili wamegundua👇🏻

Screenshot_20221112-065035.png
 
Dah! We jamaa embu amka. Mpaka sasa Ukraine yupo huru kujiunga na Nato, pia kijeshi Ukraine kaiva mpaka anamkimbiza Mrusi kwa kichapo cha mbwa koko
Hivi we utamka lini Ukraine unadhani ataingia Nato.

Akijiunga Nato unikumbushe basi inawezekana kweli mimi nikawa na ota 😂

Dunia nzima inajua kuna mawili hapo ama US kisha muza Ukraine au Mrusi kamuingiza chambo Ukraine.

Sehemu alio ondoka Mrusi ni ndogo sana inasemekana kuna uwezekano wame deal na US ili ndio uwe mpaka kati ya Mrusi na Ukraine ili hapo US na Mrusi kila mmoja aonekane Kashinda

Yani kiujumla huo ndio utakuwa mpaka wa Ukraine na Mrusi yani Mrusi kajichukulia vipandwe vyote na atampa kimfupa Ukraine hicho alicho pull out alambe.

Yani hivi na vile mchezo umeisha Mrusi amepata alicho kitaka na US atajisifia kakomboa kile kipande alicho wachiwa.

Kama una akili ungefahamu hio ndio deal imefanyika kati ya US na Mrusi.

We huoni US wanasema hakuna vita yatatu ya dunia 😂 Yani Ukraine ndio kahasirika hangii Nato na kachukuliwa vipande vinne kasoro kama kilometers flani tu za Kherson.

Ile pull out ya Mrusi inasemekana ndio kawachiwa Ukraine kama ndio sehemu ya mpaka wake mpya.

Hizo ndio point za kuzingatia zikiwa tofauti utanijulisha, ya kwanza Ukraine kaingizwa chambo au kuna deal kati US na Mrusi, ni kwamba Mrusi awachie badhi ya sehemu ili na US aonekane mshindi kwa kiasi flani 😂
 
Ngoma inogile hiyo no looking back. Bado sehemu ndogo sana waimalize Kherson waingie Cremea. Ndiomana wanajeshi wa kirusi wakaona bora walipue madaraja ili kuslow down speed ya wanajeshi wa Ukraine kujia upande wa kusini ilipo Crimea.
hiyo kuingia crimea itawachukua kama miezi mitatu na zitakuj taarifa kuwa wameghairisha kwend Crimea
 
Hahaha jamaa wa akbar akbar mnajiliwaza ila kichapo kiko pale.

Kherson will be a graveyard for Ukraine solders and their mercenaries from the US and NATO--- the trap is being set by Russia, let's wait and see the would be manslaughter, the time will tell.
 
Hawakutegemea wanachokiona na kukisikia. Putin amewaangusha sana na usupa pawa wake wa mchongo haha
Hahaha jamaa wa akbar akbar mnajiliwaza ila kichapo kiko pale.
Nionavyo Russian Army wameamua kuwatoa uraian hawa Ukrainian army ili wafanye tukio la kijeshi kwa wanajeshi tu!
Kiu ya kukomboa mpaka wa shamba lako insongezeka jirani anapoamua kurudi nyuma! Sasa hii kiu isije kuwa kiu ya mauti kwa hawa Ukrainian army!
 
Kherson will be a graveyard for Ukraine solders and their mercenaries from the US and NATO--- the trap is being set by Russia, let's wait and see the would be manslaughter, the time will tell.
wishful thinking.
 
Nionavyo Russian Army wameamua kuwatoa uraian hawa Ukrainian army ili wafanye tukio la kijeshi kwa wanajeshi tu!
Kiu ya kukomboa mpaka wa shamba lako insongezeka jirani anapoamua kurudi nyuma! Sasa hii kiu isije kuwa kiu ya mauti kwa hawa Ukrainian army!

Tangu lini Warusi wakajali raia, hawa Warusi wanaopiga mabomba ya maji mabomu ili wananchi wateseke...
Kila siku mnatuambia hiki mnatuambia kile, yaani hamkosi vijisababu, imekua hizi stori tangu msafara ulivyofyekwa Kyev.....na Warusi wanaendelea kufukuziwa balaa belua...
 
We tulizana uone kipigo atakacho pewa Ukraine huyo kaingizwa hapo Kherson wakitoka wazima washukuru.

Hivi we Huna habari US ananua silaha za mizinga toka South Korea ili apeleke Ukraine au bado umelala. Afu mnamuita Superpower 😂
US intends to buy 100,000 rounds of artillery ammunition from South Korean arms manufacturers to provide to Ukraine.

Yani hi vita mwenye akili mbovu ndio anadhani Ukraine kashinda.

Mrusi klicho mungiza Ukraine niku iuwa Ukraine kiuchumi, kinguvu ya jeshi na kuwazuia kuingia Nato na hayo kisha yafanya.

Nyie oteni ndoto eti Ukraine anashinda vita.
20220928_185229.jpg
Marekani kununua ammunition rounds kutoka South Korea kunaisaidia nini Russia? Ukraine si anapewa silaha kutoka popote, sio superpower kama mnavyojiita nyinyi.
Russia alianza kutoroka Kyiv, Snake island na hadi leo anatimua mbio kuachia maeneo wewe bado unatoa sijui kuna kipigo anaandaa. Kwani hao wanajeshi aliotuma uko anaorudisha sasa hivi walienda kucheza rede ama namna gani.
 
Wale ma-pro fashisti humu siku hizi nao wamepoteana hadi aibu! Why are you supporting Russia in this saga? Mbona Marekani iliivamia Iraq? Eti hilo ndio jibu!
Mnataka mtulazimishe tumsupport nani? Russia mpaka mwisho!
 
Back
Top Bottom