Hadi aibu, Warusi kwa uwoga wao walipua daraja huku wakitoroka

Hadi aibu, Warusi kwa uwoga wao walipua daraja huku wakitoroka

Wale ma-pro fashisti humu siku hizi nao wamepoteana hadi aibu! Why are you supporting Russia in this saga? Mbona Marekani iliivamia Iraq? Eti hilo ndio jibu!
Acha kelele sisi tumewatwanga na majimbo 5 tumetachukua nyie mmechukua nini kutokana Urusi?
 
View attachment 2414112Marekani kununua ammunition rounds kutoka South Korea kunaisaidia nini Russia? Ukraine si anapewa silaha kutoka popote, sio superpower kama mnavyojiita nyinyi.
Russia alianza kutoroka Kyiv, Snake island na hadi leo anatimua mbio kuachia maeneo wewe bado unatoa sijui kuna kipigo anaandaa. Kwani hao wanajeshi aliotuma uko anaorudisha sasa hivi walienda kucheza rede ama namna gani.
Kwani wewe nia yako unataka achikue Ukraine nzima ndio uone Urusi amefanikiwa?
 
Hiyo ni Trap aseee mtu atoke tu mwenyewe kirahisi tu. Jiulize kwanini Russia alifanya evecuation ya raia?? na kwanini katangaza kujitoa??
 
Tangu lini Warusi wakajali raia, hawa Warusi wanaopiga mabomba ya maji mabomu ili wananchi wateseke...
Kila siku mnatuambia hiki mnatuambia kile, yaani hamkosi vijisababu, imekua hizi stori tangu msafara ulivyofyekwa Kyev.....na Warusi wanaendelea kufukuziwa balaa belua...
Sawa mmeufyeka msafara,mmegain nini baada ya kuufyeka??
 
3312.jpg

Mnamjua vizuri
 
We tulizana uone kipigo atakacho pewa Ukraine huyo kaingizwa hapo Kherson wakitoka wazima washukuru.

Hivi we Huna habari US ananua silaha za mizinga toka South Korea ili apeleke Ukraine au bado umelala. Afu mnamuita Superpower [emoji23]
US intends to buy 100,000 rounds of artillery ammunition from South Korean arms manufacturers to provide to Ukraine.

Yani hi vita mwenye akili mbovu ndio anadhani Ukraine kashinda.

Mrusi klicho mungiza Ukraine niku iuwa Ukraine kiuchumi, kinguvu ya jeshi na kuwazuia kuingia Nato na hayo kisha yafanya.

Nyie oteni ndoto eti Ukraine anashinda vita.
jipime akili mkuu , marekan inatoa msaada wala sio vita yake ila inajitoa kias hicho ila mzee wa SMO wanaomba msaada kwa Iran
 
We tulizana uone kipigo atakacho pewa Ukraine huyo kaingizwa hapo Kherson wakitoka wazima washukuru.

Hivi we Huna habari US ananua silaha za mizinga toka South Korea ili apeleke Ukraine au bado umelala. Afu mnamuita Superpower 😂
US intends to buy 100,000 rounds of artillery ammunition from South Korean arms manufacturers to provide to Ukraine.

Yani hi vita mwenye akili mbovu ndio anadhani Ukraine kashinda.

Mrusi klicho mungiza Ukraine niku iuwa Ukraine kiuchumi, kinguvu ya jeshi na kuwazuia kuingia Nato na hayo kisha yafanya.

Nyie oteni ndoto eti Ukraine anashinda vita.
Kwa mtogole analyst!
 
The withdrawal of Russian forces from Kherson doesn't effect the legal status of the region, Moscow insisted on Friday, as it was officially incorporated into Russia last month after a public referendum.

Speaking to journalists, Kremlin Spokesman Dmitry Peskov stated that “Kherson Region remains part of the Russian Federation, and this status is legally fixed and defined, and there can be no changes to this status.”

His comments come after the Defense Ministry announced that Russian forces had completed their redeployment to the left bank of the Dnieper River on Friday without suffering any loss of personnel, weapons, or vehicles
 
Media zimekua ban kutangaza ishu za Russia. Ndio maana tangu vita inaanza tulikua tunasikia Russia anatembezewa moto si wa kitoto, at the same time unasikia Russia amenyakua majimbo mengine zaidi.
Huenda habari zitokazo Russia kuhusu hii vita ni tofauti kabisa na mnazotuletea humu.
Vyanzo vyote vya habari za vita hii ni kutoka Magharibi. Unadhani kutakua na usawa wa habari?
 
Hivi we utamka lini Ukraine unadhani ataingia Nato.

Akijiunga Nato unikumbushe basi inawezekana kweli mimi nikawa na ota [emoji23]

Dunia nzima inajua kuna mawili hapo ama US kisha muza Ukraine au Mrusi kamuingiza chambo Ukraine.

Sehemu alio ondoka Mrusi ni ndogo sana inasemekana kuna uwezekano wame deal na US ili ndio uwe mpaka kati ya Mrusi na Ukraine ili hapo US na Mrusi kila mmoja aonekane Kashinda

Yani kiujumla huo ndio utakuwa mpaka wa Ukraine na Mrusi yani Mrusi kajichukulia vipandwe vyote na atampa kimfupa Ukraine hicho alicho pull out alambe.

Yani hivi na vile mchezo umeisha Mrusi amepata alicho kitaka na US atajisifia kakomboa kile kipande alicho wachiwa.

Kama una akili ungefahamu hio ndio deal imefanyika kati ya US na Mrusi.

We huoni US wanasema hakuna vita yatatu ya dunia [emoji23] Yani Ukraine ndio kahasirika hangii Nato na kachukuliwa vipande vinne kasoro kama kilometers flani tu za Kherson.

Ile pull out ya Mrusi inasemekana ndio kawachiwa Ukraine kama ndio sehemu ya mpaka wake mpya.

Hizo ndio point za kuzingatia zikiwa tofauti utanijulisha, ya kwanza Ukraine kaingizwa chambo au kuna deal kati US na Mrusi, ni kwamba Mrusi awachie badhi ya sehemu ili na US aonekane mshindi kwa kiasi flani [emoji23]
Comment nzima mwanzo mwisho kumbe ni 'inasemekana' basi sawa [emoji3][emoji3]
 
Kherson will be a graveyard for Ukraine solders and their mercenaries from the US and NATO--- the trap is being set by Russia, let's wait and see the would be manslaughter, the time will tell.

Kila sehemu Russia anakokimbia kwa kipigo huwa mnakuja na hiki kisingizio cha 'trap' na bahati nzuri sana hizo trap huwa zinaishia hapa hapa JF.
 
Wale ma-pro fashisti humu siku hizi nao wamepoteana hadi aibu! Why are you supporting Russia in this saga? Mbona Marekani iliivamia Iraq? Eti hilo ndio jibu!
Kuna watu wana akili ndogo sana dunia hii. Mtu mzima kuwa upande wa Russia eti kwa sababu USA waliivamia Iraq, Afghanistan etc ni ujinga wa kiwango cha juu. Kuna mmoja nilimwelewesha hapa akaelewa vizuri kabisa; tunawapinga Russia kama tulivyowapinga kwa nguvu zote USA kipindi kile wanazivamia nchi nyingine kwa uonevu mkubwa.
 
The withdrawal of Russian forces from Kherson doesn't effect the legal status of the region, Moscow insisted on Friday, as it was officially incorporated into Russia last month after a public referendum.

Speaking to journalists, Kremlin Spokesman Dmitry Peskov stated that “Kherson Region remains part of the Russian Federation, and this status is legally fixed and defined, and there can be no changes to this status.”

Sasa haya maneno yanasaidia nini kama wanapakimbia
 
Mnataka mtulazimishe tumsupport nani? Russia mpaka mwisho!
hakuna anaekulazimisha ila tukukumbusha babu zako waliupiga vita ukolon mwanzon mwa 1900s mpk mid 1900 wakawq huru ila ww kima leo unaushabikia Ukolon unaorudishwa na Urusi , Jitafakar mara mbili kama kichwan zimo
 
Nionavyo Russian Army wameamua kuwatoa uraian hawa Ukrainian army ili wafanye tukio la kijeshi kwa wanajeshi tu!
Kiu ya kukomboa mpaka wa shamba lako insongezeka jirani anapoamua kurudi nyuma! Sasa hii kiu isije kuwa kiu ya mauti kwa hawa Ukrainian army!
Wauaji wanawajali raia?russia wanaiba kila kitu wanachoweza kubeba na wakishindwa wanakiharibu,hiyo huruma kwa raia inatoka wapi,angalia hata mobilized army yao yaani kama wameokotwa vile.
 
Back
Top Bottom