Hadi aibu, Warusi kwa uwoga wao walipua daraja huku wakitoroka

Hadi aibu, Warusi kwa uwoga wao walipua daraja huku wakitoroka

We tulizana uone kipigo atakacho pewa Ukraine huyo kaingizwa hapo Kherson wakitoka wazima washukuru.

Hivi we Huna habari US ananua silaha za mizinga toka South Korea ili apeleke Ukraine au bado umelala. Afu mnamuita Superpower 😂
US intends to buy 100,000 rounds of artillery ammunition from South Korean arms manufacturers to provide to Ukraine.

Yani hi vita mwenye akili mbovu ndio anadhani Ukraine kashinda.

Mrusi klicho mungiza Ukraine niku iuwa Ukraine kiuchumi, kinguvu ya jeshi na kuwazuia kuingia Nato na hayo kisha yafanya.

Nyie oteni ndoto eti Ukraine anashinda vita.
Uko ndoto ya ngapi sasa hivi?
Vaa mabomu kajitoe muhanga upate wale bikra 72 ujilie maisha peponi
 
Jameni wazalendo wa Ukraine wanatembeza moto hadi naumwa aki ya nani, Warusi wameona ili kupunguza kasi ya kufukuziwa, wamelipua daraja na kutoroka.

Ukrainian armed forces have retaken another part of the Kherson region — the village of Tyahinka, near the strategic town of Nova Kakhovka — despite Russian forces destroying bridges on their way out.

A video circulating on social media Friday, geolocated and authenticated by CNN, shows Ukrainian troops being greeted by residents on the main highway in Tyahinka. The village is just 20 kilometers (about 14 miles) west of the hydroelectric dam and bridges that stretch across the Dnipro River at Nova Kakhovka.

A number of photos, also geolocated and authenticated by CNN, show that the Ukrainian forces were able to make their way into the village despite the main highway's bridge and a pedestrian bridge being destroyed by the Russians as they withdrew.

Those bridges cross the Tyahinka River, which flows into the Dnipro River.

Russia is pulling its troops back to the Dnipro's eastern bank, allowing the Ukrainians to reclaim territory west of the river.

Jamaa anaperekewa moto,mpaka basi,Putin/KGB anatia huruma balaa,
 
Acha kelele sisi tumewatwanga na majimbo 5 tumetachukua nyie mmechukua nini kutokana Urusi?
Mmehamisha magoli sasa sio kushinda vita ni kuchukua majimbo ya urusi?
Hii vita itaishia kremlin muda si mrefu
 
We tulizana uone kipigo atakacho pewa Ukraine huyo kaingizwa hapo Kherson wakitoka wazima washukuru.

Hivi we Huna habari US ananua silaha za mizinga toka South Korea ili apeleke Ukraine au bado umelala. Afu mnamuita Superpower 😂
US intends to buy 100,000 rounds of artillery ammunition from South Korean arms manufacturers to provide to Ukraine.

Yani hi vita mwenye akili mbovu ndio anadhani Ukraine kashinda.

Mrusi klicho mungiza Ukraine niku iuwa Ukraine kiuchumi, kinguvu ya jeshi na kuwazuia kuingia Nato na hayo kisha yafanya.

Nyie oteni ndoto eti Ukraine anashinda vita.
Unajua Russia jeshi limekwisha na hadi sasa wanaopigana ni jkt na wale walevi wa vodka waliopelekwa kwa nguvu vitani.

Up to this stage Russia is a spent force.
 
We tulizana uone kipigo atakacho pewa Ukraine huyo kaingizwa hapo Kherson wakitoka wazima washukuru.

Hivi we Huna habari US ananua silaha za mizinga toka South Korea ili apeleke Ukraine au bado umelala. Afu mnamuita Superpower [emoji23]
US intends to buy 100,000 rounds of artillery ammunition from South Korean arms manufacturers to provide to Ukraine.

Yani hi vita mwenye akili mbovu ndio anadhani Ukraine kashinda.

Mrusi klicho mungiza Ukraine niku iuwa Ukraine kiuchumi, kinguvu ya jeshi na kuwazuia kuingia Nato na hayo kisha yafanya.

Nyie oteni ndoto eti Ukraine anashinda vita.
Kwa taarifa yako nchi mpaka sasa ipo mikononi mwa NATO. Na ndio maana huyo Russia mpuuzi anavurugwa na tumbo kila dakika na kurudi nyuma. Pale USA na Baba ake England washaweka ngome kibabe. Russia washaligundua ilo na ndio maana anachanganyikiwa na matamko matamko ya ajabu
 
Hivi we utamka lini Ukraine unadhani ataingia Nato.

Akijiunga Nato unikumbushe basi inawezekana kweli mimi nikawa na ota [emoji23]

Dunia nzima inajua kuna mawili hapo ama US kisha muza Ukraine au Mrusi kamuingiza chambo Ukraine.

Sehemu alio ondoka Mrusi ni ndogo sana inasemekana kuna uwezekano wame deal na US ili ndio uwe mpaka kati ya Mrusi na Ukraine ili hapo US na Mrusi kila mmoja aonekane Kashinda

Yani kiujumla huo ndio utakuwa mpaka wa Ukraine na Mrusi yani Mrusi kajichukulia vipandwe vyote na atampa kimfupa Ukraine hicho alicho pull out alambe.

Yani hivi na vile mchezo umeisha Mrusi amepata alicho kitaka na US atajisifia kakomboa kile kipande alicho wachiwa.

Kama una akili ungefahamu hio ndio deal imefanyika kati ya US na Mrusi.

We huoni US wanasema hakuna vita yatatu ya dunia [emoji23] Yani Ukraine ndio kahasirika hangii Nato na kachukuliwa vipande vinne kasoro kama kilometers flani tu za Kherson.

Ile pull out ya Mrusi inasemekana ndio kawachiwa Ukraine kama ndio sehemu ya mpaka wake mpya.

Hizo ndio point za kuzingatia zikiwa tofauti utanijulisha, ya kwanza Ukraine kaingizwa chambo au kuna deal kati US na Mrusi, ni kwamba Mrusi awachie badhi ya sehemu ili na US aonekane mshindi kwa kiasi flani [emoji23]
Wewe pumbavu kabisa
 
Hivi Ukraine na maela yote Yale wanapigana na conscripts wa miaka 18-21 wanajisifu, mnashangilia Vita ambayo imegeuka kuwa ni Money laundering scam..Fuatilieni vizuri uhusiano wa FTX,serikali ya Marekani na Serikali ya Ukraine..
 
Kubali mmepigwa
 
Alipo ingia vita alisema inaotaka Kyiv au alisema Ukraine asijiunge na Nato na wanao ongea kirusi wapewe haki zao hayo yote kisha timiza mchezo umeisha.

Nakuelezeni US kisha muza Ukraine hio pull out aliyo ifanya Mrusi upande wa Kherson ndio itakuwa border ya Ukraine na Urusi Kherson imeisha bugiwa na Mrusi
wale warusi wa Kherson wamelindwa sio ?
 
... wanatamani supa pawa afyatue nuke as per fashisti threats roho zao zisuuzike! Unfortunately, fashisti military activities are the mostly monitored activities under the Sun currently! Makomunisti wana ujinga sana.

And this is the fact, all satellite’s currently are close to fascist military
 
Kwa taarifa yako nchi mpaka sasa ipo mikononi mwa NATO. Na ndio maana huyo Russia mpuuzi anavurugwa na tumbo kila dakika na kurudi nyuma. Pale USA na Baba ake England washaweka ngome kibabe. Russia washaligundua ilo na ndio maana anachanganyikiwa na matamko matamko ya ajabu
Hio ya NATO tunajua siku nyingi wanapigana na Mrusi sio US na Muingereza peke yao NATO yote ipo pale lakini Mrusi hi vita kushinda atashinda tu na Ukraine hawezi kuwa members of NATO hata siku moja time will tell.
 
Back
Top Bottom