Hadi aibu, Warusi kwa uwoga wao walipua daraja huku wakitoroka

Wale ma-pro fashisti humu siku hizi nao wamepoteana hadi aibu! Why are you supporting Russia in this saga? Mbona Marekani iliivamia Iraq? Eti hilo ndio jibu!
Acha kelele sisi tumewatwanga na majimbo 5 tumetachukua nyie mmechukua nini kutokana Urusi?
 
Kwani wewe nia yako unataka achikue Ukraine nzima ndio uone Urusi amefanikiwa?
 
Hiyo ni Trap aseee mtu atoke tu mwenyewe kirahisi tu. Jiulize kwanini Russia alifanya evecuation ya raia?? na kwanini katangaza kujitoa??
 
Sawa mmeufyeka msafara,mmegain nini baada ya kuufyeka??
 
jipime akili mkuu , marekan inatoa msaada wala sio vita yake ila inajitoa kias hicho ila mzee wa SMO wanaomba msaada kwa Iran
 
Kwa mtogole analyst!
 
The withdrawal of Russian forces from Kherson doesn't effect the legal status of the region, Moscow insisted on Friday, as it was officially incorporated into Russia last month after a public referendum.

Speaking to journalists, Kremlin Spokesman Dmitry Peskov stated that “Kherson Region remains part of the Russian Federation, and this status is legally fixed and defined, and there can be no changes to this status.”

His comments come after the Defense Ministry announced that Russian forces had completed their redeployment to the left bank of the Dnieper River on Friday without suffering any loss of personnel, weapons, or vehicles
 
Media zimekua ban kutangaza ishu za Russia. Ndio maana tangu vita inaanza tulikua tunasikia Russia anatembezewa moto si wa kitoto, at the same time unasikia Russia amenyakua majimbo mengine zaidi.
Huenda habari zitokazo Russia kuhusu hii vita ni tofauti kabisa na mnazotuletea humu.
Vyanzo vyote vya habari za vita hii ni kutoka Magharibi. Unadhani kutakua na usawa wa habari?
 
Comment nzima mwanzo mwisho kumbe ni 'inasemekana' basi sawa [emoji3][emoji3]
 
Kherson will be a graveyard for Ukraine solders and their mercenaries from the US and NATO--- the trap is being set by Russia, let's wait and see the would be manslaughter, the time will tell.

Kila sehemu Russia anakokimbia kwa kipigo huwa mnakuja na hiki kisingizio cha 'trap' na bahati nzuri sana hizo trap huwa zinaishia hapa hapa JF.
 
Wale ma-pro fashisti humu siku hizi nao wamepoteana hadi aibu! Why are you supporting Russia in this saga? Mbona Marekani iliivamia Iraq? Eti hilo ndio jibu!
Kuna watu wana akili ndogo sana dunia hii. Mtu mzima kuwa upande wa Russia eti kwa sababu USA waliivamia Iraq, Afghanistan etc ni ujinga wa kiwango cha juu. Kuna mmoja nilimwelewesha hapa akaelewa vizuri kabisa; tunawapinga Russia kama tulivyowapinga kwa nguvu zote USA kipindi kile wanazivamia nchi nyingine kwa uonevu mkubwa.
 

Sasa haya maneno yanasaidia nini kama wanapakimbia
 
Mnataka mtulazimishe tumsupport nani? Russia mpaka mwisho!
hakuna anaekulazimisha ila tukukumbusha babu zako waliupiga vita ukolon mwanzon mwa 1900s mpk mid 1900 wakawq huru ila ww kima leo unaushabikia Ukolon unaorudishwa na Urusi , Jitafakar mara mbili kama kichwan zimo
 
Wauaji wanawajali raia?russia wanaiba kila kitu wanachoweza kubeba na wakishindwa wanakiharibu,hiyo huruma kwa raia inatoka wapi,angalia hata mobilized army yao yaani kama wameokotwa vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…