Hadi aibu, Warusi kwa uwoga wao walipua daraja huku wakitoroka

hakuna anaekulazimisha ila tukukumbusha babu zako waliupiga vita ukolon mwanzon mwa 1900s mpk mid 1900 wakawq huru ila ww kima leo unaushabikia Ukolon unaorudishwa na Urusi , Jitafakar mara mbili kama kichwan zimo
Tumia akili Yako vizuri!
 

Halafu signature yako naona umeweka Zaburi 35
 
Kwani mmezuiwa ongelea advancement ya Warusi?

Tufanye mko Kyiv
 
Kherson will be a graveyard for Ukraine solders and their mercenaries from the US and NATO--- the trap is being set by Russia, let's wait and see the would be manslaughter, the time will tell.
Mzee wa trap
 
Tetesi nilizosoma jana ni kwamba Putin haongei na yoyote katika makamanda wake walioko vitani na huenda akaji kill, ule mpango wa ku-withdraw yeye hakubaliano nao anataka mapambano tu vyovyote iwavyo
 
Aliyevamia nchi ya watu ndiye mwenye dhamana ya kushinda, anapaswa asimike uongozi wake pale Kyev, vinginevyo ni makelele tu.
Alipo ingia vita alisema inaotaka Kyiv au alisema Ukraine asijiunge na Nato na wanao ongea kirusi wapewe haki zao hayo yote kisha timiza mchezo umeisha.

Nakuelezeni US kisha muza Ukraine hio pull out aliyo ifanya Mrusi upande wa Kherson ndio itakuwa border ya Ukraine na Urusi Kherson imeisha bugiwa na Mrusi
 

Alisema anampa Zelensky masaa 24 aachie ngazi, Ulaya wakawa tayari kumpa Zelensky hifadhi kama mkimbizi, huyo Zelensky akasema hahitaji lift apewe bunduki, shujaa akasimamia nchi yake dhidi mvamizi aliyejaribu kuiparamia Kyev na kupokea za uso.
Huyo Mrusi amefukuziwa mpaka sasa amesalia na 15% na hiyo inamgharimu kishezi, anajutia sana maana vinamtoka puani.
 
Unatuletea maoni binafsi ya mmoja wao,mbona hujaongelea kuwa hayo maoni yake hayasapotiwi na sehemu kubwa ya Security Council including Biden mwenyewe au hiyo sehemu huioni? Pro Russia mmechanganyikiwa na kipigo cha Kherson mpaka mnakuja na assumptions zenu kichwani[emoji3][emoji3]
 
jipime akili mkuu , marekan inatoa msaada wala sio vita yake ila inajitoa kias hicho ila mzee wa SMO wanaomba msaada kwa Iran
wanaomba na msaada kwa mzee wa kiduku North Korea supa pawaaaa ha ha haa.
 
Wewe umeamua kuwa comedian kwa hii comment yako
 
Vyombo mbalimbali vya kimataifa pamoja Russia wenyewe wameshangaa kuona wanajeshi wa Ukraine wakiwa na magari Aina ya GAIA kutoka Israel ingawa Israel wanakataa kusaidia Ukraine vifaa vya kivita lkn ukweli umeonekana mjini Kherson
 

Attachments

  • 20221112_111806.jpg
    141.3 KB · Views: 2
Labda atumie nuclear weapons kulipua mji wote, Russia ameshachemka kwenye hii vita
 
We tuliza ball hao Ukraine wameisha ingia kwenye mtego wa Putin, Ukraine walikuwa wanapigana wamejificha nyuma ya majumba na Putin kawavuta wamejikusanya hapo Kherson sa ndio wataipata
 
Yaani bado una amini progaganda tena toka CNN kweli

Acha kuamini propaganda wewe
 
Kherson will be a graveyard for Ukraine solders and their mercenaries from the US and NATO--- the trap is being set by Russia, let's wait and see the would be manslaughter, the time will tell.
Mtego kwa kulipua madarja? Kwani wasingeweza kuwatega kwa kurudi nyuma bila kulipua madaraja?

Russia mambo yamekuwa magumu, na bila shaka Putin anajuta japo hawezi kiri hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…