simbamzeewamwakidila
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 1,447
- 378
Unashangaa? Fursa hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nami inabidi nijikite kwa joh makini
Siku ukimuona Joh naye,mtahamia kwa Soggy doggy.
Mtoa Mada and the likes mna IQ ndogo siwez kuwalaumu sababu sio kosa lenu.
Unachekesha
Aache kufanya yake utamlisha?
Fid ni mgumu m.a.v.i ndo maana kuna wakati alikuwa anajichubua, watu walipokuwa wakimuhoji akawa anadai 'ukijichubua haimaanishi unaukimbia uafrika' kwa hiyo sio wa kumshangaa anavyopigia kampeni magamba, yule anafanya hiphop kigodoro.
Unajua ni heshima kubwa sana kufanya kile ulichowaaminisha watu.
Kwa kuwa yatokayo mdomoni yameanzia moyoni,sikuwa na shaka na elimu ya huyu mkubwa na nilimuona ni mwanaharakati wa ukweli=mwanamaendeleo=mwanamabadiliko na ndipo alistahili kuitwa KIOO CHA JAMII na sio kama akina fulani.
Ninachoona ni ajabu kwa huyu mkubwa ni pale anapoasi harakati kwa hizo milioni kitu ambacho mwanaharakati wa ukweli hawezi kufanya hivyo,atapigana kiume hadi alete ukombozi kupitia ulichokihubiri.
By the way,angefanya research ya kujua mashabiki wangu wanapenda nifanye nini,okay,lamba hizo za kampeni baada ya hapo upate ukame wa mashabiki wako then uisome namba.
Mkuu what if na wao pia wakasema una IQ ndogo ndio maana umeshindwa kuking'amua kile wanachokisimamia?
Anyway, all in all everyone has a price tag. Huwezi kuishi mikocheni kwenye single room then ukaikataa 50m ni ngumu kidogo so i don't blame him.
Bado narudia tena mtoa mada and the likes mna IQ ndogo ww nae umo kunduni, kama issue ndogo kama hii mnamshambulia Kubanda bas tatizo ni uelewa wenu wa kuchanganua mambo... Hiv mnajua mnachosimamia nyinyi? Au mpo mpo tu mnapelekwapelekwa kama nyumbu? Lowasa huyu huyu mlitumia nguvu nying kuwaaminisha wananchi kwamba hafai ni fisadi watu wakaamini Leo mnatumia nguvu nying tena kuwaaminisha watu kwamba ni msafi afu unasema tunasimamia tunachokiamini Poor you!... Huyo msanii wenu Roma miaka miwili iliyopita aliimba Bandugu bwaga manyanga ayaokote Magufuri, Nakomba Pesa zote kisha nasepa kama Lowasa Ahahahaha Hiv anajua anachosimamia huyu? Poor you again! eti leo ndo mpiga kampeni wenu na nyimbo yake niliwaambia watu humu ndani naipa less than a week itapotea iko wapi sasa hiv,... Yaani nyimbo unaiimbia ukawa unategemea watu wote waisikilize? Poor Roma,! Ile nyimbo haina tofauti na nyimbo ya CCM mbele kwa mbele maana ni
Nasema IQ yako ni kama unywele,huwezi kusema la maana.
Fid ana skin condition ambayo ilimlazimu kufanya tiba ndio maana ilikua vile.some session were aired on tv host akiwa Witness.was part of treatment.haondoki ukali eti tu sababu hashabikii unachoshabikia aisee.
basi wasilalamike kuhusu hati miliki coz akili zao zinamafuta ya taa