Hadi Fid Q? Nimebaki kuduwaa

Hadi Fid Q? Nimebaki kuduwaa

Nami namfuta rasmi kwenye ushabiki wangu nami nilikuwa namuweka mbele hvyohvyo sasa heshima yake naifuta rasmi
 
Nampenda FIDQ kufaaaa!!namuelewa sana Fareed ni mtu poa na mstaarabu sana!nimewahi kupata fursa ya kukaa nae kwa masaa kadhaa kiukweli ni msanii anayajielewa na yuko poa sana fid
 
Mtoa Mada and the likes mna IQ ndogo siwez kuwalaumu sababu sio kosa lenu.

Mkuu what if na wao pia wakasema una IQ ndogo ndio maana umeshindwa kuking'amua kile wanachokisimamia?

Anyway, all in all everyone has a price tag. Huwezi kuishi mikocheni kwenye single room then ukaikataa 50m ni ngumu kidogo so i don't blame him.
 
Unachekesha

Aache kufanya yake utamlisha?

Unajua ni heshima kubwa sana kufanya kile ulichowaaminisha watu.

Kwa kuwa yatokayo mdomoni yameanzia moyoni,sikuwa na shaka na elimu ya huyu mkubwa na nilimuona ni mwanaharakati wa ukweli=mwanamaendeleo=mwanamabadiliko na ndipo alistahili kuitwa KIOO CHA JAMII na sio kama akina fulani.

Ninachoona ni ajabu kwa huyu mkubwa ni pale anapoasi harakati kwa hizo milioni kitu ambacho mwanaharakati wa ukweli hawezi kufanya hivyo,atapigana kiume hadi alete ukombozi kupitia ulichokihubiri.

By the way,angefanya research ya kujua mashabiki wangu wanapenda nifanye nini,okay,lamba hizo za kampeni baada ya hapo upate ukame wa mashabiki wako then uisome namba.
 
Fid ni mgumu m.a.v.i ndo maana kuna wakati alikuwa anajichubua, watu walipokuwa wakimuhoji akawa anadai 'ukijichubua haimaanishi unaukimbia uafrika' kwa hiyo sio wa kumshangaa anavyopigia kampeni magamba, yule anafanya hiphop kigodoro.

Fid ana skin condition ambayo ilimlazimu kufanya tiba ndio maana ilikua vile.some session were aired on tv host akiwa Witness.was part of treatment.haondoki ukali eti tu sababu hashabikii unachoshabikia aisee.
 
Unajua ni heshima kubwa sana kufanya kile ulichowaaminisha watu.

Kwa kuwa yatokayo mdomoni yameanzia moyoni,sikuwa na shaka na elimu ya huyu mkubwa na nilimuona ni mwanaharakati wa ukweli=mwanamaendeleo=mwanamabadiliko na ndipo alistahili kuitwa KIOO CHA JAMII na sio kama akina fulani.

Ninachoona ni ajabu kwa huyu mkubwa ni pale anapoasi harakati kwa hizo milioni kitu ambacho mwanaharakati wa ukweli hawezi kufanya hivyo,atapigana kiume hadi alete ukombozi kupitia ulichokihubiri.

By the way,angefanya research ya kujua mashabiki wangu wanapenda nifanye nini,okay,lamba hizo za kampeni baada ya hapo upate ukame wa mashabiki wako then uisome namba.

Acha unafiki wewe.ungeanza kulaumu chadema kwa kuasi agenda ya ufisadi na kukumbatia mafisadi.kuteua mgombea mwenye siku mbili tena bila kufuata taratibu tulizojiwekea.acheni vijana wapige pesa kama mbowe alivyopiga pesa
 
Watu sasa mnakoelekea siko kabisa, yaani kila mtu anapaswa kuwaza kama nyie tu na hapaswi kuwa na msimamo binafsi kwa vile tu ni msanii maarufu? Mabadiliko sio kwa kupitia Lowassa peke yake, kama huamini waache.wengine wanaoamini hilo.
 
Fid njàa kali. ...weusi ndio wababe kwenye game

Harakati mwanzo mwisho
 
Mkuu what if na wao pia wakasema una IQ ndogo ndio maana umeshindwa kuking'amua kile wanachokisimamia?

Anyway, all in all everyone has a price tag. Huwezi kuishi mikocheni kwenye single room then ukaikataa 50m ni ngumu kidogo so i don't blame him.

Bado narudia tena mtoa mada and the likes mna IQ ndogo ww nae umo kunduni, kama issue ndogo kama hii mnamshambulia Kubanda bas tatizo ni uelewa wenu wa kuchanganua mambo... Hiv mnajua mnachosimamia nyinyi? Au mpo mpo tu mnapelekwapelekwa kama nyumbu? Lowasa huyu huyu mlitumia nguvu nying kuwaaminisha wananchi kwamba hafai ni fisadi watu wakaamini Leo mnatumia nguvu nying tena kuwaaminisha watu kwamba ni msafi afu unasema tunasimamia tunachokiamini Poor you!... Huyo msanii wenu Roma miaka miwili iliyopita aliimba ™Bandugu bwaga manyanga ayaokote Magufuri, Nakomba Pesa zote kisha nasepa kama Lowasa Ahahahaha Hiv anajua anachosimamia huyu? Poor you again! eti leo ndo mpiga kampeni wenu na nyimbo yake niliwaambia watu humu ndani naipa less than a week itapotea iko wapi sasa hiv,... Yaani nyimbo unaiimbia ukawa unategemea watu wote waisikilize? Poor Roma,! Ile nyimbo haina tofauti na nyimbo ya CCM mbele kwa mbele maana ni wanaccm pekee ndo wanaisikilizaga...
 
Yuko wapi Marlooo alizunguka kwenye kampeni alivyomaliza mashabiki wamemkimbia yuko chaliii
 
Bado narudia tena mtoa mada and the likes mna IQ ndogo ww nae umo kunduni, kama issue ndogo kama hii mnamshambulia Kubanda bas tatizo ni uelewa wenu wa kuchanganua mambo... Hiv mnajua mnachosimamia nyinyi? Au mpo mpo tu mnapelekwapelekwa kama nyumbu? Lowasa huyu huyu mlitumia nguvu nying kuwaaminisha wananchi kwamba hafai ni fisadi watu wakaamini Leo mnatumia nguvu nying tena kuwaaminisha watu kwamba ni msafi afu unasema tunasimamia tunachokiamini Poor you!... Huyo msanii wenu Roma miaka miwili iliyopita aliimba ™Bandugu bwaga manyanga ayaokote Magufuri, Nakomba Pesa zote kisha nasepa kama Lowasa Ahahahaha Hiv anajua anachosimamia huyu? Poor you again! eti leo ndo mpiga kampeni wenu na nyimbo yake niliwaambia watu humu ndani naipa less than a week itapotea iko wapi sasa hiv,... Yaani nyimbo unaiimbia ukawa unategemea watu wote waisikilize? Poor Roma,! Ile nyimbo haina tofauti na nyimbo ya CCM mbele kwa mbele maana ni

Nasema IQ yako ni kama unywele,huwezi kusema la maana.
 
Fid ana skin condition ambayo ilimlazimu kufanya tiba ndio maana ilikua vile.some session were aired on tv host akiwa Witness.was part of treatment.haondoki ukali eti tu sababu hashabikii unachoshabikia aisee.

Asante
 
Nimesikitishwa na Fid Q, Mwana FA, Ali Kiba...ni waBongo Fleva ambao atleast huwa nawasikiliza...nimeachana rasmi na Bongo Fleva, sio kwamba hawana muziki mzuri, lakini hawajielewi, baadhi yao hata hawajui wanaimba nini...kama huyu Fid Q. Niliwahi kutana naye Zanzibar nikiwa na rafiki zangu waSouth Africa, nikamtambulisha kama 'Biggest Hip hop Artist' wa Tanzania, kwa maneno yake akasema 'am more than Hip Hop artist, am an activist'...activist gani anapanda jukwaa la CCm?!
 
Back
Top Bottom