Hadi hapa Yanga ni Bingwa Msimu huu wa 2023/2024, Kwa Sababu Kuu hizi 2.

Hivi Yanga akichukua awamu hii ndo mara ya 3 mfululizo? Na simba alichukua mara 4 mfululizo si ndiyo?

Nadhani ligi imepangwa hivo,kwamba na Yanga naye achukue mara 4 au 5 mfululizo hah
😁😁
 
Ulaya game ni ngumu kwakua position wise mwisho wa msimu team ina bonus toka FA ya nchi ukiachilia mbali kuwepo tu kwenye ligi yenyewe,tofauti kubwa Kwa tz ni uwekezaji wa timu husika ukiangalia simba/yanga/azam wanaufalme wao kabisa,azam ttzo ni ushabiki wa simba/yanga and hawana consistency wakicheza na team ndogo.
Simba ttzo kubwa sn ni Saido Ntiba yule mtu ndio sumu ya team,kuna kijana Chasambi or Kalabaka wangeweza cheza jana na kuwasaidia wakongwe,ambao ni wazito jana coast walikua 4-3-3 or 4-5-1 wakiwa hawana mpira but simba walikua 4-2-3-1 tyr kiungo kimekua outnumbered and hao 4 wa mbele hawakua wanatudi ndio maana muda wote coast walikua bora
 
Asante kwa Additional Facts Mkuu
 
Hoja ya kutokuwa na team nyingi zenye ushindani izingatiwe
Timu zenye ushindani zipo. Tatizo kubwa ni ushabiki maandazi na njaa ya timu husika.

Unakuta kitimu kikiahidiwa posho au Mshahara wa wachezaji miezi 2, kinakubali kuachia haya goli 20 kwa mtu mmoja. Ya Saidoo, Tanzania prisons na kiatu cha mfungaji Bora tuliyaona
 
Hapa ndo hua sikubaliani na wachambuzi wa kiswahili. Hizi hizi ligi zinazosifiwa kuwa shindani ndo kwa mfano Bayern Munich anabeba ubingwa kila msimu, Man City anabeba ubingwa kila msimu, PSG anabeba ubingwa kila msimu, Spain ni Real Madrid au Barca nk. Sasa huo ushindani mnaosema Ulaya wanao na sisi hatuna unapimwa vp?
 
Hata Huko ulaya mfano EPL Hivi Man city au Liverpool akuzidi point 7 halafu bado mechi kumi unategemea atashindwa kubeba ubingwa?
 
Hata Huko ulaya mfano EPL Hivi Man city au Liverpool akuzidi point 7 halafu bado mechi kumi unategemea atashindwa kubeba ubingwa?
Tumeona mara nyingi Ulaya Bingwa hadi anaamuliwa na Match ya Mwisho..Umesahau hatq msimu uliopita?
 
Kubeba Kombe sio shida Mkuu sa kama Man City kapoteza na wewe ukapoteza si gap la point lina Maintain japo ndipo Bingwa anatokea...Na kutokana na hili Ndio maana Ligi za Ulayq unakuta katika msimu ni jambo sio la kushangaza kukuta Man city yupo wa 4 au wa 3 au wa 5 kabisa na michezo wakiwa wamelingana Swali Bongo ushakuta LINI YANI LINI Yanga au simba yupo Nje ya Top 4 na amecheza michezo yake yote?..Achilia Ubingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…