Hadi ijulikane mapato ya kiingilio kwenye mechi za Simba huwa yanaenda wapi ndipo watu wahamasike tena kukata ticket

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Binafsi kama mpenzi wa soka nilikuwa nahamasika kulipa kiingilio kwenda kuangalia mechi za timu yangu ya Simba nikiamini mapato hayo ni sehemu muhimu ya kuinufaisha club.

Hata hivyo nilikatishwa tamaa sana na tangazo la bodi ya ligi kuhusu mapato ya mlangoni ya Simba. Kibaya zaidi hakuna kiongozi aliyelalamika wala kushtushwa na mapato hayo kiduchu. Sisi wengine tuliona kuna wizi mkubwa sana unafanyika na hatujui anayefaidika ni nani.

Kutokana na hali hiyo, imetukatisha tamaa sana watu kuingia kuisapoti timu huku mapato yakihujumiwa na hakuna anayelalamika. Hadi tutakapoambiwa ukweli kuhusu mapato ya watu wanaoujaza uwanja huwa yanavujia wapi, ndipo tutakuwa na ari tena ya kuisapoti timu yetu kwa kuingia viwanjani.
 
Mpiga fitna mkuu bwana msukule kashindwa vita vya fitna kwa Simba wewe ndo utaweza.
 
Binafsi kama mpenzi wa soka nilikuwa nahamasika kulipa kiingilio kwenda kuangalia mechi za timu yangu ya Simba,nikiamini,mapato hayo ni sehemu muhimu ya kuinufaisha club.

Hata hivyo nilikatishwa tamaa sana na tangazo la bodi ya ligi kuhusu mapato ya mlangoni ya Simba.
Kibaya zaidi hakuna kiongozi aliyelalamika wala kushtushwa na mapato hayo kiduchu.
Sisi wengine tuliona kuna wizi mkubwa sana unafanyika na hatujui anayefaidika ni nani.
Kutokana na hali hiyo,imetukatisha tamaa sana watu kuingia kuisapoti timu huku mapato yakihujumiwa na hakuna anayelalamika.
Hadi tutakapoambiwa ukweli kuhusu mapato ya watu wanaoujaza uwanja huwa yanavujia wapi,ndipo tutakuwa na ari tena ya kuisapoti timu yetu kwa kuingia viwanjani.
Cashmanara
 
Dhima kuu ya sisi mashabiki kuingia uwanjani ni kwenda kushabikia timu yetu ili ipate motisha ifanye vizuri na zawadi pekee wanayotupatia wana Msimbazi ni ushindi na ubingwa wa vikombe.

Hiyo hesabu ya mapato ya klabu kupitia gate collections ni vitu vya ziada na VISIVYOWEZA KUMZUIA SHABIKI YOYOTE YULE WA UKWELI KUTOKWENDA UWANJANI
 
Binafsi kama mpenzi wa soka nilikuwa nahamasika kulipa kiingilio kwenda kuangalia mechi za timu yangu ya Simba,nikiamini,mapato hayo ni sehemu muhimu ya kuinufaisha club.

Hata hivyo nilikatishwa tamaa sana na tangazo la bodi ya ligi kuhusu mapato ya mlangoni ya Simba.
Kibaya zaidi hakuna kiongozi aliyelalamika wala kushtushwa na mapato hayo kiduchu.
Sisi wengine tuliona kuna wizi mkubwa sana unafanyika na hatujui anayefaidika ni nani.
Kutokana na hali hiyo,imetukatisha tamaa sana watu kuingia kuisapoti timu huku mapato yakihujumiwa na hakuna anayelalamika.
Hadi tutakapoambiwa ukweli kuhusu mapato ya watu wanaoujaza uwanja huwa yanavujia wapi,ndipo tutakuwa na ari tena ya kuisapoti timu yetu kwa kuingia viwanjani.
Siyo Simba tu hata pacha wake..
..kuna kamtandao ka wizi wa mapato kati ya tifua tifua ...wizara ya...na viongoz wa hizi timu gari bovu.
 
Binafsi kama mpenzi wa soka nilikuwa nahamasika kulipa kiingilio kwenda kuangalia mechi za timu yangu ya Simba,nikiamini,mapato hayo ni sehemu muhimu ya kuinufaisha club.

Hata hivyo nilikatishwa tamaa sana na tangazo la bodi ya ligi kuhusu mapato ya mlangoni ya Simba.
Kibaya zaidi hakuna kiongozi aliyelalamika wala kushtushwa na mapato hayo kiduchu.
Sisi wengine tuliona kuna wizi mkubwa sana unafanyika na hatujui anayefaidika ni nani.
Kutokana na hali hiyo,imetukatisha tamaa sana watu kuingia kuisapoti timu huku mapato yakihujumiwa na hakuna anayelalamika.
Hadi tutakapoambiwa ukweli kuhusu mapato ya watu wanaoujaza uwanja huwa yanavujia wapi,ndipo tutakuwa na ari tena ya kuisapoti timu yetu kwa kuingia viwanjani.
Next Time utakuja kuulizia kwanini timu ya simba wachezaji wa simba wanavaa viatu, daah hii nchi sijui huu upumbavu unaoitwa siasa kwanini unafundishwa huko vyuoni!! Shame, shame, shame
 
Binafsi kama mpenzi wa soka nilikuwa nahamasika kulipa kiingilio kwenda kuangalia mechi za timu yangu ya Simba,nikiamini,mapato hayo ni sehemu muhimu ya kuinufaisha club.

Hata hivyo nilikatishwa tamaa sana na tangazo la bodi ya ligi kuhusu mapato ya mlangoni ya Simba.
Kibaya zaidi hakuna kiongozi aliyelalamika wala kushtushwa na mapato hayo kiduchu.
Sisi wengine tuliona kuna wizi mkubwa sana unafanyika na hatujui anayefaidika ni nani.
Kutokana na hali hiyo,imetukatisha tamaa sana watu kuingia kuisapoti timu huku mapato yakihujumiwa na hakuna anayelalamika.
Hadi tutakapoambiwa ukweli kuhusu mapato ya watu wanaoujaza uwanja huwa yanavujia wapi,ndipo tutakuwa na ari tena ya kuisapoti timu yetu kwa kuingia viwanjani.
Wewe siyo shabiki wa mpira
 
Ulisikia wachezaji wanalazimika hawajalipwa mshahara?
Timu imeshindwa kusafiri kwa kukosa nauli?
 
Back
Top Bottom