Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

Hao ndio wanadamu boss
 
Hii inaharibu haki za binadamu kuishi popote ili mradi havunji sheria, hawa wageni wamekaa miaka mingi huko inakuwaje wanarudishwa nchi zao?
Kama kwao kuzuri kwa nini wasikae kwao.
 
Kosa langu ni nini, niliowauliza wameelewa wamejibu wapo salama. Ila wewe zee la Ramli vepe
I know how to read people's energy hata Kwa kusoma maandishi Yao tu mkuu..

Swali lako halina tofauti na mchawi anaekuroga usiku halafu asubuhi anapita kuulizia mnaendeleaje.

Anakuja kuangalia kama uchawi wake umefanya Kazi.

Waafrika nawajua utafikiri Mimi ndio nimewaumba.
 
Mbona china hawamo? Hawapendi kwenda kwenye nchi za wajanja wenzao bali wanaenda kwenye nchi za wajinga Africa ambako wanajazana hadi kuwa wamachinga na wachezesha kamari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ