LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Wewe una roho ya kichawi nenda kaombeweNyani Ngabu na Kiranga vipi huko kuna usalama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una roho ya kichawi nenda kaombeweNyani Ngabu na Kiranga vipi huko kuna usalama?
Hao Wana uraia naaminiNyani Ngabu na Kiranga vipi huko kuna usalama?
Kosa langu ni nini, niliowauliza wameelewa wamejibu wapo salama. Ila wewe zee la Ramli vepeWewe una roho ya kichawi nenda kaombewe
Hao ndio wanadamu bossAisee!
Sikuwa najua kuwa kumbe kuna watu wanaumia sana na uwepo wa Watanzania waishio Marekani.
Sasa nimepata kuelewa kwa nini hata humu, kwa mfano, kuna watu wanakuchukia tu bila hata sababu ya msingi.
Mtu hakujui, hajawahi kukutana na wewe, haijui hata sauti yako ikoje.
Hata ikitokea mmekutana barabarani, hatoweza kujua wewe ndo yule jamaa wa JF anayekuchukia bila hata kukujua.
Naona kejeli ni nyingi sana. Kejeli hizo zikirudishwa, wewe unaonekana ni mtu wa kujidai, licha ya kwamba hukuzianzisha wewe hizo kejeli. Ulikuwa unajibu tu mapigo kwa staili ile ile.
Hivi kwa nini mtu uumie moyo na upatwe na kiungulia juu ya mtu ambaye hata humjui?
Ni kwamba maisha yako ni mabaya sana kiasi kwamba ukisikia habari yoyote ile iliyo hasi inayomhusu mtu unayemwonea wivu, unapata faraja ya muda mfupi?
Kuchukia watu ambao huwajui ni ishara ya kutokuwa na furaha maishani mwako. Ni umajinuni.
Hivyo, madhila yoyote unayodhani yanayomkabili mtu unayemchukia, yanakufanya ujisikie hauko peke yako katika magumu unayoyapitia maishani mwako.
Mtaendelea kuumia sana maana misery loves company.
Onwards and upwards.
USA baby 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
View attachment 3218063View attachment 3218064
Kama kwao kuzuri kwa nini wasikae kwao.Hii inaharibu haki za binadamu kuishi popote ili mradi havunji sheria, hawa wageni wamekaa miaka mingi huko inakuwaje wanarudishwa nchi zao?
😅Huyu ni the Mongolian savage? kabadirisha ID au nimemfananisha?
Inashangaza lakini haishangazi kivile.Hao ndio wanadamu boss
mwamba huyo, sura ya bangi😅Huyu ni the Mongolian savage? kabadirisha ID au nimemfananisha?
Ngabu ana kitambulisho cha mmarekani mkaazi.Nyani Ngabu na Kiranga vipi huko kuna usalama?
Hata kama sina uraia.Hao Wana uraia naamini
I know how to read people's energy hata Kwa kusoma maandishi Yao tu mkuu..Kosa langu ni nini, niliowauliza wameelewa wamejibu wapo salama. Ila wewe zee la Ramli vepe
Ulikichapisha wewe hicho kitambulisho?Ngabu ana kitambulisho cha mmarekani mkaazi.
Mbona china hawamo? Hawapendi kwenda kwenye nchi za wajanja wenzao bali wanaenda kwenye nchi za wajinga Africa ambako wanajazana hadi kuwa wamachinga na wachezesha kamari?🌍🇺🇲 The list of 1,445,549 People To Be Deported By The US.
Also included are the Africans in the US 🇺🇸 facing deportation in 2025.
1. Somalia 🇸🇴 - 4090
2. Mauritania 🇲🇷 - 3822
3. Nigeria 🇳🇬 - 3690
4. Ghana 🇬🇭 - 3228
5. Guinea 🇬🇳 - 1897
6. Cameroon 🇨🇲 - 1736
7. Ethiopia 🇪🇹 - 1713
8. Senegal 🇸🇳 - 1689
9. Liberia 🇱🇷 - 1563
10. Egypt 🇪🇬 - 1461
11. Kenya 🇰🇪 - 1282
12. Ivory Coast 🇨🇮 - 1224
13. DR. Congo 🇨🇩 - 1068
14. Gambia 🇬🇲 - 1035
15. Sudan 🇸🇩 - 1012
16. Eritrea 🇪🇷 - 973
17. Mali 🇲🇱 - 929
18. Congo 🇨🇬 - 745
19. Angola 🇦🇴 - 662
20. Niger 🇳🇪 - 642
21. Zimbabwe 🇿🇼 - 545
22. Morocco 🇲🇦 - 495
23. Burundi 🇧🇮 - 462
24. Tanzania 🇹🇿 - 427
25. Uganda 🇺🇬 - 393
26. South Africa 🇿🇦 - 379
27. Cape Verde 🇨🇻 - 314
28. Algeria 🇩🇿 - 306
29. Burkina Faso 🇧🇫 - 303
30. Togo 🇹🇬 - 301
31. Zambia 🇿🇲 - 174
32. Chad 🇹🇩 - 169
33. Tunisia 🇹🇳 - 160
34. South Sudan 🇸🇸 - 136
35. Benin 🇧🇯 - 102
36. Libya 🇱🇾 - 89
37. Central African Republic 🇨🇫 - 82
38. Gabon 🇬🇦 - 60
39. Rwanda 🇷🇼 -57
40. Malawi 🇲🇼 - 56
41. Guinea Bissau 🇬🇼 - 48
42. Djibouti 🇩🇯 - 29
43. Equatorial Guinea 🇬🇶 - 20
44. Namibia 🇳🇦 - 19
45. Mauritius 🇲🇺 - 15
46. Mozambique 🇲🇿 - 14
47. Botswana 🇧🇼 - 12
48. Lesotho 🇱🇸 - 11
49. Eswatini 🇸🇿 - 6
50. Madagascar 🇲🇬 - 5
51. Seychelles 🇸🇨 - 4
52. Comoros 🇰🇲 - 3
53. Sao Tome and Principe 🇸🇹 - 1
Other notable countries include 👇
India 🇮🇳 - 17940
Russia 🇷🇺 - 3518
Canada 🇨🇦 - 1290
United Kingdom 🇬🇧 - 1157
Germany 🇩🇪 - 571
France 🇫🇷 - 402
Italy 🇮🇹 - 375
Spain 🇪🇸 - 364
Japan 🇯🇵 - 281
Australia 🇦🇺 - 261
FursaIndia🙌🏻🙌🏻