Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

Waindi km kuku, ni mwendo wa kula pilipili na kutotoa vitoto tu nchi za watu.
Sijaona Hamas hapo wala Yemen hawapo huko?
 
1. Kwa nini nchi iwakatae raia wake? Hiyo nchi itakuwa na viongozi wa ajabu sana.

2. Sidhani kama kuna nchi itayothubutu kufanya hivyo. Marekani ina influence kubwa sana hapa duniani na nchi yeyote itayofanya hivyo, itakuwa inajitakia mabaya tu.
 
Dah mani kwahio hata skanka huko hugusi....wagwan
Mkuu kwq sasa hata pimbe sinywi, nina zaidi ya mwaka sijagusa pombe. Mara ya mwisho nimekunywa Champagne siku ya mwaka mpya January 1 2024, na kabla ya hapo nilikuwa s8janywa pombe muda mrefu.

Skanka siku hizi wanlimix na Fenta unaweza kurudisha jezi ndani ya mluzi tu.

Nishakula mpaka pilau raw la La Paz mwana, kwa sasa naangalia vijana tu.
 
1. Kwa nini nchi iwakatae raia wake? Hiyo nchi itakuwa na viongozi wa ajabu sana.

2. Sidhani kama kuna nchi itayothubutu kufanya hivyo. Marekani ina influence kubwa sana hapa duniani na nchi yeyote itayofanya hivyo, itakuwa inajitakia mabaya tu.
Cuba
Laos
Venezuela
Afghanistan
Georgia
Russia
DRC
Burkina Faso
Libya
Iran
Yemen
Somalia
Ethiopia
Sudan
So many countries to list..........
 
Fake news. How many Americans have been expelled?
 
Cuba
Laos
Venezuela
Afghanistan
Georgia
Russia
DRC
Burkina Faso
Libya
Iran
Yemen
Somalia
Ethiopia
Sudan
So many countries to list..........
๐Ÿคฃ

Almost all of them are banana republics.

Hizo nchi hazina ubavu wa kuwakataa wananchi wao waliorudishwa.
 
... unafikiri kwanini Magu alipendwa sana? ... wabongo hopeless walifurahia sana 'tumbua'tumbua', ... hasa zile za hadharani!
 
... unafikiri kwanini Magu alipendwa sana? ... wabongo hopeless walifurahia sana 'tumbua'tumbua', ... hasa zile za hadharani!
Anhaaaโ€ฆ

Kwa hiyo kumbe walikuwa wanayafurahia madhila ya waliokuwa wanatumbuliwa eh?

Kwamba ni bora tukose woteโ€ฆ.

Sasa naanza kuelewa kwa nini hata humu JF unakuta kuna watu hawakupendi etiโ€ฆ

Watu wenyewe hata huwajui. Ila wakisoma soma tu humu JF na kuona mtu uko Marekani, basi wanaanza kukuchukia.

Mental health is a scourge. A serious one at that.
 
... chunguza na 'white-supremacists' wa Trump kama hawafananifanani na Magu fans! ... binadam wenye akili ni wachache sana Duniani Kijana wangu! Wala usikaribishe 'tension' nao, we ukishiba zako burgers zako jichekee tuu!
๐Ÿ˜…
 
How about wings and fries? Flavors: half Jamaican jerk, the other half wet lemon pepper ๐Ÿ˜‰๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.

Kwa wataopatwa na maumivu ya moyo au wataopatwa na fundo kooni, natanguliza pole zangu.

Canada nao wakiamua kuwarudisha Wamarekani, wamejazana huku kama njugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ