antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Mbona China hakuna hapo kwenye orodha?!Other notable countries include ๐
India ๐ฎ๐ณ - 17940
Russia ๐ท๐บ - 3518
Canada ๐จ๐ฆ - 1290
United Kingdom ๐ฌ๐ง - 1157
Germany ๐ฉ๐ช - 571
France ๐ซ๐ท - 402
Italy ๐ฎ๐น - 375
Spain ๐ช๐ธ - 364
Japan ๐ฏ๐ต - 281
Australia ๐ฆ๐บ - 261
Oh asante mkuu kwa clarificationViliisha muda na hawakuongeza muda wala hawakurudi makwao
Respect! Best wishesPersonally.
Kwangu kuna usalama mpaka inatisha.
Ushawahi kuwa salama mpaka ukaona "hapa kuna mtu anani punk nini?".
Yani ile Bob Marley alivyoimba kwenye "Rat Race" "When you think it's peace and safety, a sudden destruction". Ndiyo Peace and Safety ya kwangu saa hizi, mpaka naogopa "a sudden destruction" inaweza kuja.
Mimi Marekani nina uraia na sijawahi kukaa nje ya legal status hata kwa sekunde moja. Halafu naishi kwa kuogopa sheria za watu vibaya sana, everything by the book, naishi ki OG kishua vibaya sana.
Kazi ninazofanya tu zina high level of professionalism na background checks mtu wa ovyo ovyo hawezi hata kupita background checks zake na kuruhusiwa kuzifanya. Yani zile kazi ambazo mtu akiwa na credit mbaya tu, au kikesi cha kijinga tu, au historia ya drug use tu, hawezi kuruhusiwa kufanya.
Ndiyo kwangu.
I live a clean life, I don't even steal cable - Nas "Mastermind".
Ila maisha ni zaidi yangu mimi tu. Vipi wana wa kitaa, wale ambao mikiki yao iko tofauti na hawajapitia njia za kufunga mkanda kote?
Hapo hali ipo tete kwa baadhi ya watu, wachache sana, lakini wapo.
Kuna mwana mmoja anarudishwa. It's all good though, nyumbani kuna network ya kumpokea na kumpa psychological support, kumuanzishia maisha, na huku kuna watu watamtumia vitu vyake.
It's been a good run, all things considered.
Thanks for your concern.
More life.
One.
Kwenye hiyo orodha Mange Kimambi yumo?๐๐บ๐ฒ The list of 1,445,549 People To Be Deported By The US.
Also included are the Africans in the US ๐บ๐ธ facing deportation in 2025.
1. Somalia: 4,090
2. Mauritania: 3,822
3. Nigeria: 3,690
4. Ghana: 3,228
5. Guinea: 1,897
6. Cameroon: 1,736
7. Ethiopia: 1,713
8. Senegal: 1,689
9. Liberia: 1,563
10. Sierra Leone: 1,563
11. Egypt: 1,461
12. Kenya: 1,282
13. Ivory Coast: 1,224
14. DRC: 1,068
15. Gambia: 1,035
16. Sudan: 1,012
17. Eritrea: 973
18. Mali: 929
19. Angola: 662
20. Niger: 642
21. Zimbabwe: 545
22. Morocco: 495
23. Togo: 427
24. Uganda: 393
25. South Africa: 379
26. Rwanda: 338
27. Cape Verde: 314
28. Algeria: 306
29. Burkina Faso: 303
30. Tanzania: 301
31. Zambia: 174
32. Chad: 169
33. Tunisia: 160
34. South Sudan: 136
35. Benin: 102
36. Libya: 89
37. Central African Republic: 82
38. Gabon: 60
39. Djibouti: 29
40. Equatorial Guinea: 20
41. Namibia: 19
42. Mozambique: 14
43. Botswana: 12
44. Lesotho: 11
45. Eswatini: 6
46. Madagascar: 5
47. Seychelles: 4
Other notable countries include ๐
India ๐ฎ๐ณ - 17940
Russia ๐ท๐บ - 3518
Canada ๐จ๐ฆ - 1290
United Kingdom ๐ฌ๐ง - 1157
Germany ๐ฉ๐ช - 571
France ๐ซ๐ท - 402
Italy ๐ฎ๐น - 375
Spain ๐ช๐ธ - 364
Japan ๐ฏ๐ต - 281
Australia ๐ฆ๐บ - 261
Na siku zote masikini ndo huongoza kwa chuki.Aisee!
Sikuwa najua kuwa kumbe kuna watu wanaumia sana na uwepo wa Watanzania waishio Marekani.
Sasa nimepata kuelewa kwa nini hata humu, kwa mfano, kuna watu wanakuchukia tu bila hata sababu ya msingi.
Mtu hakujui, hajawahi kukutana na wewe, haijui hata sauti yako ikoje.
Hata ikitokea mmekutana barabarani, hatoweza kujua wewe ndo yule jamaa wa JF anayekuchukia bila hata kukujua.
Hizo chuki zake sasa!
Naona kejeli ni nyingi sana. Kejeli hizo zikirudishwa, wewe unaonekana ni mtu wa kujidai, licha ya kwamba hukuzianzisha wewe hizo kejeli. Ulikuwa unajibu tu mapigo kwa staili ile ile.
Hivi kwa nini mtu uumie moyo na upatwe na kiungulia juu ya mtu ambaye hata humjui?
Ni kwamba maisha yako ni mabaya sana kiasi kwamba ukisikia habari yoyote ile iliyo hasi inayomhusu mtu unayemwonea wivu, unapata faraja ya muda mfupi?
Kuchukia watu ambao huwajui ni ishara ya kutokuwa na furaha maishani mwako. Ni umajinuni.
Hivyo, madhila yoyote unayodhani yanayomkabili mtu unayemchukia, yanakufanya ujisikie hauko peke yako katika magumu unayoyapitia maishani mwako.
Mtaendelea kuumia sana maana misery loves company.
Onwards and upwards.
USA baby ๐บ๐ธ๐บ๐ธ๐บ๐ธ๐บ๐ธ
Wabongo ndo maana hauwaambii kitu kuhusu usa๐๐บ๐ฒ The list of 1,445,549 People To Be Deported By The US.
Also included are the Africans in the US ๐บ๐ธ facing deportation in 2025.
1. Somalia: 4,090
2. Mauritania: 3,822
3. Nigeria: 3,690
4. Ghana: 3,228
5. Guinea: 1,897
6. Cameroon: 1,736
7. Ethiopia: 1,713
8. Senegal: 1,689
9. Liberia: 1,563
10. Sierra Leone: 1,563
11. Egypt: 1,461
12. Kenya: 1,282
13. Ivory Coast: 1,224
14. DRC: 1,068
15. Gambia: 1,035
16. Sudan: 1,012
17. Eritrea: 973
18. Mali: 929
19. Angola: 662
20. Niger: 642
21. Zimbabwe: 545
22. Morocco: 495
23. Togo: 427
24. Uganda: 393
25. South Africa: 379
26. Rwanda: 338
27. Cape Verde: 314
28. Algeria: 306
29. Burkina Faso: 303
30. Tanzania: 301
31. Zambia: 174
32. Chad: 169
33. Tunisia: 160
34. South Sudan: 136
35. Benin: 102
36. Libya: 89
37. Central African Republic: 82
38. Gabon: 60
39. Djibouti: 29
40. Equatorial Guinea: 20
41. Namibia: 19
42. Mozambique: 14
43. Botswana: 12
44. Lesotho: 11
45. Eswatini: 6
46. Madagascar: 5
47. Seychelles: 4
Other notable countries include ๐
India ๐ฎ๐ณ - 17940
Russia ๐ท๐บ - 3518
Canada ๐จ๐ฆ - 1290
United Kingdom ๐ฌ๐ง - 1157
Germany ๐ฉ๐ช - 571
France ๐ซ๐ท - 402
Italy ๐ฎ๐น - 375
Spain ๐ช๐ธ - 364
Japan ๐ฏ๐ต - 281
Australia ๐ฆ๐บ - 261
Utetezi wa kibwege huuHii inaharibu haki za binadamu kuishi popote ili mradi havunji sheria, hawa wageni wamekaa miaka mingi huko inakuwaje wanarudishwa nchi zao?
Nilitaka kuuliza swali kama hili ๐คฃ๐คฃNyani Ngabu na Kiranga vipi huko kuna usalama?
Ana ndoa huko america anarudije ..?Hawa ni raia wa dunia, popote kambi, wabishi kinoma, nawapenda.
Du! ๐คNgoja niombe ruhusa ya bila malipo nianze kushinda hapo uwanja wa ndege najua nitamkamata mdai wangu
Bwana Desdedith umeyakanyaga lazima nikudake .
Unapenda maponjoroHawa ni raia wa dunia, popote kambi, wabishi kinoma, nawapenda.
Ndio tulivyoumbwa baba. Waje tu tusaidiane kazi za shamba.Wachawi tu hao
Wahamiaji haramu ndio wanaorudishwa.Mange is going to join us soon
Kwa hiyo utawafundisha hawa wamarekani wa mchongo wanaorudishwa kubeti!?Odds 9.... BETWAY View attachment 3217995
Kwa hiyo ww unashindana na Trump ambae ni raisi wa Marekani!?Hata Trump Marekani sio kwake,,,yeye ni wakuja vilevile.....
Hata sisi tunakurupushaga Wageni haramu.Hii inaharibu haki za binadamu kuishi popote ili mradi havunji sheria, hawa wageni wamekaa miaka mingi huko inakuwaje wanarudishwa nchi zao?