Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

Umeshawahi kusikia "next flight", nadhani ndio kinawakumba huko. Au wakikamatwa wanakuwa detained hadi siku ya kuondoka.

It's sad, itawaondoa kwenye reli wengi tu.
Wengi wanakuwa disturbed ki saikolojia na kama kakaa muda mrefu nje anakuwa kashapoteza ramani. Na detention wanakuwa wanatritiwa vibaya ndio maana wenye roho ndogo utasikia kajinyonga
 
Nimependa kichambo chako cha kisomi 🤣 watu wana visokoro kwinyo sana wanatamani watu wawe deported wote tuwe tunagombea mabasi ya mbagala rangi 3 kwa kupitia dirishani.
 
How about wings and fries? Flavors: half Jamaican jerk, the other half wet lemon pepper 😉🤣🤣🤣.

Kwa wataopatwa na maumivu ya moyo au wataopatwa na fundo kooni, natanguliza pole zangu.

View attachment 3218242
Wamezipokea pole zako bila shaka huku wakigugumia kwa maumivu huku wakimeza funda la mate ya iko kiepe na vipapatio.
 
Ajabu sasa mkuki kwa nguruwe.Mama yake Trump aliingia Marekani mwaka 1929 kama muhamiaji haramu akitokea Scotland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…