Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
kukaa sehemu mda mrefu hakukupi uhalali wa kukaa hapo mileleHii inaharibu haki za binadamu kuishi popote ili mradi havunji sheria, hawa wageni wamekaa miaka mingi huko inakuwaje wanarudishwa nchi zao?