kukaa sehemu mda mrefu hakukupi uhalali wa kukaa hapo mileleHii inaharibu haki za binadamu kuishi popote ili mradi havunji sheria, hawa wageni wamekaa miaka mingi huko inakuwaje wanarudishwa nchi zao?
kiazi kama hicho hakitoelewa, plus kiinglish ulichoandika ndo kuziiiiidiMange is a legal immigrant in USA, take your towel poppy.
Naomba nije nikae kwenu baada ya kugundua mkono utaenda kinywani! Unaniruhusu? Kwani nimevunja sheria hipi kunikatalia?Hii inaharibu haki za binadamu kuishi popote ili mradi havunji sheria, hawa wageni wamekaa miaka mingi huko inakuwaje wanarudishwa nchi zao?
She wont, yeye alifuata proper procedure, na uraia wa tz alishaukanaMange is going to join us soon
Well ukishakuwa muhamiaji harama mwans umevunja sheria. Hakuna haki za binadamu zimevunjwa hapoHii inaharibu haki za binadamu kuishi popote ili mradi havunji sheria, hawa wageni wamekaa miaka mingi huko inakuwaje wanarudishwa nchi zao?
Wachawi tu haoKuna wabongo taarifa kama hii inawapa raha sana.
Chezea mtu mweusi wewe 😂 utasikia anasema kiko wapi alikuwa anajidai sanaKuna wabongo taarifa kama hii inawapa raha sana.
Hao Hawana Vibari,Wanapotakiwa Kuonyesha Namna Walivyoingia USA Tabu TupuHii inaharibu haki za binadamu kuishi popote ili mradi havunji sheria, hawa wageni wamekaa miaka mingi huko inakuwaje wanarudishwa nchi zao?