hadi maandishi kwenye duka/frem now unayalipia???

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,576
Reaction score
20,183
nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem
ni ngumu kutoboa

mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa
now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo unatakkwa kuyalipia
temeke ukifanya biashara kuna service levy
tra ya mwaka
bango(labda usiandike chochote)
taka (kwa lazima
ulinzi kwa lazima
Huruhusiwi kupack hata nje ya duka lako
so wateja watajua wenyewe pakupaki

aiseee hii serikali ionee huruma wafanyabiashara kama inavyoonea wasanii huruma
 
Acha tu mambo yani magumu
Juzi wenye maduka ya vyakula (yale ya mangi)wamesajiliwa TBS wanatakiwa walipie kila mwaka
 
nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem
ni ngumu kutoboa

mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa
now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo unatakkwa kuyalipia
temeke ukifanya biashara kuna service levy
tra ya mwaka
bango(labda usiandike chochote)
taka (kwa lazima
ulinzi kwa lazima
Huruhusiwi kupack hata nje ya duka lako
so wateja watajua wenyewe pakupaki

aiseee hii serikali ionee huruma wafanyabiashara kama inavyoonea wasanii huruma
Si waliwabeza WAZUNGU? Misaada kwisha ,wametemeshwa ndoano...Kilichobaki ni kukimbizana na wamachinga mitaani tu kutunisha FUNGU.
 
nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem
ni ngumu kutoboa

mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa
now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo unatakkwa kuyalipia
temeke ukifanya biashara kuna service levy
tra ya mwaka
bango(labda usiandike chochote)
taka (kwa lazima
ulinzi kwa lazima
Huruhusiwi kupack hata nje ya duka lako
so wateja watajua wenyewe pakupaki

aiseee hii serikali ionee huruma wafanyabiashara kama inavyoonea wasanii huruma
FIre?
 
Yani ukianzisha duka kazi kweli kweli ulipie
Kodi, umeme, maji, takataka, TRA Ile ya mwaka, uwe unatoa VAT, ULINZI kama kwenye frem hizo yupo unalipa na bdo ya mtaa unalipa tena, parking, bdo manisoaa na kodi zao siku atakuja polisi nao watataka chao ya soda 😄 🤣 😆 😂 yani hatari kweli kweli unakuta kwa mwezi unalipia hadi 1m vyote ivo na ukute hujauza
 
ni ngumu sana aisee
 
Back
Top Bottom