masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
- Thread starter
- #21
kwenye ukuta wa dukaHilo tangazo lako liko sehemu Gani, lipo ukutani au pembeni ya barabara ?
yaani ukuta uliojenga duka
kwenye ukuta wa dukaHilo tangazo lako liko sehemu Gani, lipo ukutani au pembeni ya barabara ?
fire kwetu bado ila nahisi huu mwaka hauvukiFIre?
Mnashaurije sasa???
Haipo kabisayaani huruma ni ndogo sana
Ni sawa tu, mpaka akili zitukae sawa..Mnashaurije sasa???
Duu poleni sana 🙏, hizo pesa hata hazifiki serikalini zinaliwa na mkurugezi, zisije wilaya nyingine zikaiga kama hapo kwenu patachimbika,kwenye ukuta wa duka
yaani ukuta uliojenga duka