masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
Acha tu mambo yani magumunawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem
ni ngumu kutoboa
mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa
now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo unatakkwa kuyalipia
temeke ukifanya biashara kuna service levy
tra ya mwaka
bango(labda usiandike chochote)
taka (kwa lazima
ulinzi kwa lazima
Huruhusiwi kupack hata nje ya duka lako
so wateja watajua wenyewe pakupaki
aiseee hii serikali ionee huruma wafanyabiashara kama inavyoonea wasanii huruma
yaani kodi ni nyingi kuliko maelezo na zote zinatengenezwa manispaaAcha tu mambo yani magumu
Juzi wenye maduka ya vyakula (yale ya mangi)wamesajiliwa TBS wanatakiwa walipie kila mwaka
aiseee mtu anaeanza biashara atakutana na kizingiti kilubwa sanaNchi iko mikononi mwa wahuni unategemea nini kila sekta itafikiwa β¦#kataawahuni
yaani huruma ni ndogo sanaDunia haina huruma
Si waliwabeza WAZUNGU? Misaada kwisha ,wametemeshwa ndoano...Kilichobaki ni kukimbizana na wamachinga mitaani tu kutunisha FUNGU.nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem
ni ngumu kutoboa
mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa
now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo unatakkwa kuyalipia
temeke ukifanya biashara kuna service levy
tra ya mwaka
bango(labda usiandike chochote)
taka (kwa lazima
ulinzi kwa lazima
Huruhusiwi kupack hata nje ya duka lako
so wateja watajua wenyewe pakupaki
aiseee hii serikali ionee huruma wafanyabiashara kama inavyoonea wasanii huruma
FIre?nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem
ni ngumu kutoboa
mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa
now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo unatakkwa kuyalipia
temeke ukifanya biashara kuna service levy
tra ya mwaka
bango(labda usiandike chochote)
taka (kwa lazima
ulinzi kwa lazima
Huruhusiwi kupack hata nje ya duka lako
so wateja watajua wenyewe pakupaki
aiseee hii serikali ionee huruma wafanyabiashara kama inavyoonea wasanii huruma
ni ngumu sana aiseeYani ukianzisha duka kazi kweli kweli ulipie
Kodi, umeme, maji, takataka, TRA Ile ya mwaka, uwe unatoa VAT, ULINZI kama kwenye frem hizo yupo unalipa na bdo ya mtaa unalipa tena, parking, bdo manisoaa na kodi zao siku atakuja polisi nao watataka chao ya soda π π€£ π π yani hatari kweli kweli unakuta kwa mwezi unalipia hadi 1m vyote ivo na ukute hujauza
kariakoo ndo usisemeeNdo maana niliamua kuhamishia biashara yangu mkoani, kariakoo kuna kodi zaidi ya Buku qmmk