hadi maandishi kwenye duka/frem now unayalipia???

kwenye ukuta wa duka
yaani ukuta uliojenga duka
Duu poleni sana 🙏, hizo pesa hata hazifiki serikalini zinaliwa na mkurugezi, zisije wilaya nyingine zikaiga kama hapo kwenu patachimbika,

Serikali inabidi ifanye mapitio ya tozo na Kodi kwenye wilaya zake, sio kila halmashauri ijipangie bila approved, wizarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…