Hadi sasa EX wangu ndo namba moja yangu

nisingefanya hivyo tusingefika hiyo 2yrs ni kwa sababu tu shetani alimpitia dakika za mwisho ila kile kichwa nilijua kukituliza mkuu... Me kiumri nilikuwa mdogo ila anaelewa moto wangu... Nilishawahi mfurumua usiku wa manane kudai nitamchinja akaenda kulala kwa best ake akidai nataka kumuua kumbe mkwara tu😁
 
Udhaifu kumsifia mtu mkuu? haha, hujanijua bado mkuu... ningekua dhaifu lazima angerudi, ananijua.
 
Unaonekana upo mature kuliko umri wako. Kwa kujitambua huko una nafasi kubwa ya kupata mwenza mwenye kujielewa zaidi hata ya yule. Vuta tu subira.
 
Ukiona mahusiano mwanaume ndio umri mdogo...jua wazi huyo mwanamke ni mzinzi!

Trust me.. Hao wako vizuri kwenye flirting...na kujirahisi kwa mwanaume mwenye shida nae kwa wakati huo.

Shukuru...tena shukuru kuacha nae.
 
Unaonekana upo mature kuliko umri wako. Kwa kujitambua huko una nafasi kubwa ya kupata mwenza mwenye kujielewa zaidi hata ya yule. Vuta tu subira.
Amin🤲
 
Ukiona mahusiano mwanaume ndio umri mdogo...jua wazi huyo mwanamke ni mzinzi!

Trust me.. Hao wako vizuri kwenye flirting...na kujirahisi kwa mwanaume mwenye shida nae kwa wakati huo.

Shukuru...tena shukuru kuacha nae.
Shukran mkuu
 
Bado unampenda
Bado anaishi kwako..
Wakati mwingine makosa yanapotokea hua inakua tu ngumu kusahau
Ila Matendo yao hubak kwetu sikuzote
Aishi sana..
 
Bado unampenda
Bado anaishi kwako..
Wakati mwingine makosa yanapotokea hua inakua tu ngumu kusahau
Ila Matendo yao hubak kwetu sikuzote
Aishi sana..
aishi tu
 
Hela alizo kua anapata zilizo fanya akatangulie kimaisha alizipata kutokana na mbunye yake jiulize ilikuaje akampa mchizi tunda kirahisi ivo dem huyo n bitch hukuweza kugundua tu
 
#KATAANDOA #NDOANIUTAPELI 😂
 
Hela alizo kua anapata zilizo fanya akatangulie kimaisha alizipata kutokana na mbunye yake jiulize ilikuaje akampa mchizi tunda kirahisi ivo dem huyo n bitch hukuweza kugundua tu
Jamaa alikua ni KING'ASTI kwa hio manzi yeye akaona amepata DEMU wa kujenga nae maisha

DEMU anaachia papa anakupa pesa ukapange unaona huyu si ndio DEMU
 
siku Moja Moja unafoka mwanaume, na akikukalia vizuri unamzabua vibao....sio dada Yako huyo🤣
Mkifokewa nyinyi siku hizi mnaanza kuzunguka kila Kona kudai kuivunja Ndoa alafu unamshauri nini huyu, kwanza kamzidi umri maana yake ni Shangazi yake unataka amzabue makofi akilianzisha akamkunja yeye na kumtembezea kichapo utakuepo kuamua ugomvi? Usimtie mwenzio matatizoni wanawake wa siku hizi sio wale wa 1947 hii ni 2023
 
alitakiwa Alie yeye Kwa kichapo ulichomshushia, Kwa hili nashauri uwaombe radhi wanaume wenzako mara Moja
Kampenda Shangazi yake unategemea nini? Kuna makabila nasikia kabla ya kuondoka na mke unalala na Shangazi kwanza kuthibitisha kwamba upo vizuri kwenye kuhondomora mbungi unacheza na Shangazi baada ya hapo Shangazi akisema Yes unapewa mke Ila akisema No hupewi mke
 
🤣🤣🤣 Ndio maana nikamwambia akimkalia vizuri🤣, anaweza kukaa karibu na mlango, anampa mbao halafu anakimbia🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…