STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
For what?Pole sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
For what?Pole sana mkuu
Pole sana. Utapona tuNina siku 5 sasa, changamoto ni maumivu mwili mzima, mafua, kikohozi, kifua kuuma/kubana, kuchoka, mdomo kupoteza test yani hauhisi ladha wala harufu!
Chukua tahadhari mkuu. Japo huwezi kujua mlango wa bahati/balaa. Mwenyezi MUNGU awalinde.Pole sana. Utapona tu
Hizo dalili ulizonazo sasahivi nilizipata mwanzoni mwa mwaka 2020 lakini nikavuka na sasahivi niko fiti tu. Ondoa shaka utapona tuChukua tahadhari mkuu. Japo huwezi kujua mlango wa bahati/balaa. Mwenyezi MUNGU awalinde.
Pol3 mkuuNiko kitandani nikiugua huu ugonjwa. Mwenyezi MUNGU anisimamie/atusimamie.
HatariNa baadhi ya hospitali hazipokei wagonjwa kwa sasa, na kama wakikubalia kukulaza utaambiwa uweke kuanzia 1m ili wakuanzishie matibabu