#COVID19 Hadi sasa hakuna mkakati wa matumizi ya bima ya afya na mpango kuwasaidia wagonjwa wa Corona kupunguza gharama za matibabu

#COVID19 Hadi sasa hakuna mkakati wa matumizi ya bima ya afya na mpango kuwasaidia wagonjwa wa Corona kupunguza gharama za matibabu

Nina siku 5 sasa, changamoto ni maumivu mwili mzima, mafua, kikohozi, kifua kuuma/kubana, kuchoka, mdomo kupoteza test yani hauhisi ladha wala harufu!
Pole sana. Utapona tu
 
Chukua tahadhari mkuu. Japo huwezi kujua mlango wa bahati/balaa. Mwenyezi MUNGU awalinde.
Hizo dalili ulizonazo sasahivi nilizipata mwanzoni mwa mwaka 2020 lakini nikavuka na sasahivi niko fiti tu. Ondoa shaka utapona tu
 
Back
Top Bottom