Hadi sasa hivi Wapalestina wanaendela kufa kwa mamia kwa siku, idadi sasa 27,365

Waendelee kuchakazwa tu,yaani wabondwe hadi mwisho.
Mmeenda kukurupua watu wakijilia bata zao sasa mtasafishwa tu
 
Kwetu Palestine uhai hauna thamani ikiwa ardhi yetu imekaliwa,tutapanda damu yetu mpaka mtu wa mwisho ili ardhi hii iwe huru nikueleze sasa ni mwisho na Palestine itatambulika kama nchi.
 
Watu wanabondwabondwa huko km wanyama alafu kuna mijinga humu km rajabu utamu na aliwazi na bikira wao faidhafoxy ndala ndefu wanasema kobazi wameshinda vita.
Hawa watu wakishiba biriani akili zao zinaenda matakoni kabisa.
Mbona Unateseka kijana kunywa maji mengi upunguze muhaho
Au ulitaka wawe vitani halafu wasibondwe toka mubarikiwe mmekua kama mnafikiria kwa kutumia maskio
 
Kwetu Palestine uhai hauna thamani ikiwa ardhi yetu imekaliwa,tutapanda damu yetu mpaka mtu wa mwisho ili ardhi hii iwe huru nikueleze sasa ni mwisho na Palestine itatambulika kama nchi.
Nandio ukweli wenyewe huuu yaani uhuru wa Palestine umeishapatikana rasmi sasa yaani
Nisuala la muda kidogo tu
 
Hichi Kipigo Hakijawahi Kutokea walizoea kuguswa guswa sa hivi wanaitika Wanatakiwa wakimbie Wote Pumbavu Sanaaa
 
Idadi ngapi huko?nafkiri IDF watakua wanatafuta 35 000
 
Al jazeera huwa wanapika data wao wanasema. 30k
 
Watu wanabondwabondwa huko km wanyama alafu kuna mijinga humu km rajabu utamu na aliwazi na bikira wao faidhafoxy ndala ndefu wanasema kobazi wameshinda vita.
Hawa watu wakishiba biriani akili zao zinaenda matakoni kabisa.
Ali wazi kichwa ki wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…