Hadi sasa, idadi ya madereva wa Tanzania waliogunduliwa kuwa na Corona na kuzuiwa kuingia Kenya, imefikia 78

Watz tumeshakuwa sugu wa ugonjwa wa korona hao madereva mnaowaita wagonjwa ,huku kwetu wala hatuwataki maoslitalini maana awaumwi chochote hata kama wana korona wanapona bila kuumwa

Send by APOLO 1
 
Tanzania imewachukua na kuwaweka quarantine hao madereva?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo mitaani wanachapa kazi sisi tumesha achana na mbinu za kuweka karantini watu wasiougua korona hata kama wanayo ila awaumwi wanaenda kujenga taifa korona imesha zoea damu zetu soon dunia itakuja kujifunza Tanzania kwanini korona ikikupata INA shindwa kutuathiri

Send by APOLO 1
 
Hawa jamaa wapuuzi kweli
Yao yamewashinda
Yaani wanafanya kuwafurahisha Wazungu ili wakope
Wapige pesa
Ila uwezo wakuhimili Hawana kabisa
MK254 njoo ujibu hii wakenya njaa inawauwa kuliko corona. Nyingine hii hapa chini
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Unajua shida haipo kwao most likely hao watapona bila hata kutumia madawa ila tatizo linakuja pale watawaambukiza watu wenye underlying conditions kama kisukari na cancer.ninavyojua kwenye hizi nchi zetu tuna wagonjwa wengi sana wenye wanaugua hizi magonjwa sasa inakua expected tutapoteza wananchi wengi sana kutokana na corona. Hivi mko tyari kuwazika maelfu kwa kisingizio tunajenga taifa???hivi hatuezi endelea kujenga taifa huku tukichukua tahadhari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani umezuiwa kuchukua tahadhari? Mbona serikali imeshatoa mwongozo wa kufanya mapema kabisa!
 
Ongezeni juhudi muongezwe mkopo!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apo kwenye kurudishwa ndo uwa sipa elewi ..wana rudishwa under care au ni una pandishwa gari lako una ambiwa urudi Bongo

Dark Side
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…