MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Imekuingia vyema𤣠hapa tayari umeshapanic.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekuingia vyema𤣠hapa tayari umeshapanic.
Hujamalizia CHATO GEITA TANZANIAMnachapia kazi chatošš
atajibu kwa vitendo wala si maneno mengi na maelezo meeengi.Nangoja speech ya JPM leo lazma ataongelea mapigo
View attachment 1452473
Umejiuliza kwa nini chokaraa, kwenu huko, wako mitaani maisha yao yanaendelea bila kuvaa barakoa au kutakasa mikono?Tungepima joto hatungefaulu kupata hata mmoja, maana wengi wa hao hawaonyeshi dalili zozote, wanadunda tu freshi, kwanza walishangaa sana kuambiwa wanacho kirusi, na wengi wamerudi Tanzania ndani kuendelea kutema mbegu.
Wameanza tutamaliziaNangoja speech ya JPM leo lazma ataongelea mapigo
View attachment 1452473
Nyie mnakufa kikondoo
sawa rugemalila atatoka.Mtoeni gerezani mzee Rugemalila.
Tanzania haina watu isipokua makondaš
General analindwa na privateMtazamo tu na wewe ni mtu lakini huna cheo kama chake
video gani??Nimependa sana hiyo video, naona akili zimeanza kuwaingia.
Umefeli wewe na ukoo wako!Usitishe watu na mkwara mbuzi. Issue ya corona tumefeli kweli kweli. Sifuri juu ya mia.
Sisi hatushinda nyinyi ndiyo mnashida ndiyo maana sasa hivi mmeshaanza kupigwa mabomu ya machozi na mapolisi wenu very soon watawatandika risasi za moto. Hatuna tunachowategemea sana Kenya na hawa walioko TZ hawatapata vibali vya kazi tena!Nimependa sana hiyo video, naona akili zimeanza kuwaingia.
hii sasa hatari!!Yaani hapa tumejinasua kutoka kwenye kinywa cha mamba, wote hao 78 walikua wanang'ang'ania kuingia Kenya na kirusi, kisha wajichanganye humu, kila mmoja wa hao angeambukiza Wakenya kama watano hivi, hao watano waambukize mbele na mtandao uendelee kuzagaa na kutamalaki.
Tunashukuru sana serikali kwa kuwa wakali, japo kiaina kuna taarifa za Watanzania wengine kuingia ingia Kenya bila taratibu za kupimwa, maafisa wetu wa usalama wanaoruhusu hili wajue wanarubuni maisha ya Wakenya.
Kwa sasa Tanzania kwao huko walishafanya maamuzi ya kujichokea na kukata tamaa kwenye hivi vita vya dhidi ya corona, nahisi ni kwa sababu wanaelekea kwenye uchaguzi na chama tawala aidha kinahisi kitakosa ajenda za kujitetea kwa wananchi, kikijaribu kufungia wananchi wasisongamane kwenye vilabu vya pombe ni kujiponza na kujinyima kura.
Ndio maana wameamua yote ruksa...labda baada ya uchaguzi ndio wataanza kuchukua maamuzi magumu maana hawatakua na cha kupoteza tena, ila kwa sasa hata hotuba za mkulu wao zinaonyesha hasira balaa akiwa huko kijijini alikokwenda miezi kadhaa sasa.
========================
Kenya has closed its borders with Somalia and Tanzania as the country strives to stem further spread of the coronavirus.
In a televised address to the nation on Saturday, President Uhuru Kenyatta said he was imposing more measures after it emerged that some of the cases had crossed the border from Tanzania and Somalia.
"If we do not take additional precautionary measures and get even more serious in implementing existing guidelines, the number of people who will get sick and die is going to rise sharply,ā said President Kenyatta.
The decree, effective Saturday midnight, does not affect cargo vehicles.
The move, unprecedented in the history of the East African Community's 20-year existence, came as Kenya said it had blocked 78 truck drivers from Tanzania from entering the country.
The President also announced that the number of Covid-19 cases in the country had risen to 830 after 49 more people tested positive.
Kenya shuts Somalia, Tanzania borders over virus