Hadi sasa, idadi ya madereva wa Tanzania waliogunduliwa kuwa na Corona na kuzuiwa kuingia Kenya, imefikia 78

Apo kwenye kurudishwa ndo uwa sipa elewi ..wana rudishwa under care au ni una pandishwa gari lako una ambiwa urudi Bongo

Dark Side

Wanarudi walikotoka watajua wenyewe cha kufanya maana huko hamna juhudi zozote walishajichokea na kukata tamaa.
 

Wangempa majukumu Paul Makonda asaidiane na wataalamu wa afya na awe mwenyekiti wa kamati ya wakuu wa mikoa ya kuidhibiti na kupambana na janga hili huu utopolo usingekuwepo, Barakoa lazima kila mahali kila muda wote, usimamizi wa kutosha, bar zifuatliwe kwenye social distance na barakoa, kwenye usafiri, hakuna vijiwe, hakuna umazoea na etc. pia tuwambiwe endepo tukajifungia ndani virus watakuwa wako wapi, walikujaje, na wataondokaje maana hii habari ya chanjo manaake ujifungie usijifungie virus wapo na wale virus wa mafua na kikohozi kabla ya huyu corona wameenda wapi au ndio wale wale ila Sasa wamebadilika, haieleweki kbsa.
 
Naona mnahangaika sana na Tanzania yetu! Dawa yenu iko jikoni wait and see very soon mpaka mtakimbilia kwa mabwana zenu mabeberu wawasaidie!
Usitishe watu na mkwara mbuzi. Issue ya corona tumefeli kweli kweli. Sifuri juu ya mia.
 
Makonda tena😷
 
.... hawa jamaa wapo kwenye hatari kubwa sana, yaani 78 kwa siku moja tu, bora hata wasipime huko kwao maana ni dhahiri wakianza kutangaza watapanic vibaya sana.
Mkuu, mbona ni kma vile unatuonea huruma wakati sisi wala hatuoni tatizo? Kama inatuathiri sisi tu na tumeridhika, kwa nini unalazimisha ushauri?
 
Kondoo wenu hata kudai haki zao hawajitambui.

I love kenyan spirit.

A land of burning spear.
nawewe unaishi wapi[emoji23][emoji23]

kwani hulianzishi siku moja,hata mke mwenzenu mange mlishindwa kumuunga mkono,mkaishia kutuliza matako ndani.
 
Mkuu, mbona ni kma vile unatuonea huruma wakati sisi wala hatuoni tatizo? Kama inatuathiri sisi tu na tumeridhika, kwa nini unalazimisha ushauri?
corona imashindwa Tanzani,kama masikhara.

wapo wajinga wanafosi ionekane ni balaa lakini waapi.
 
nawewe unaishi wapi[emoji23][emoji23]

kwani hulianzishi siku moja,hata mke mwenzenu mange mlishindwa kumuunga mkono,mkaishia kutuliza matako ndani.
Polisi wote waliandana nchi nzima. A great achievement.
 
Kondoo wenu hata kudai haki zao hawajitambui.

I love kenyan spirit.

A land of burning spear.
tazama video uone wakenya wanalalamika.
amia tanzania kuna fursa nyiingi na maisha sio magumu kama kenya.
kenya polisi wanaiba mali za wananchi. wananchi wa kenya wanalalamika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tazama video uone wakenya wanalalamika.
amia tanzania kuna fursa nyiingi na maisha sio magumu kama kenya.
kenya polisi wanaiba mali za wananchi. wananchi wa kenya wanalalamika

Sent using Jamii Forums mobile app
hatutaki afya mgogoro hao huku,watakuja wajifie hovyo maana lishe duni kitambo,body imunity inasua sua[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…