Hadi sasa, idadi ya madereva wa Tanzania waliogunduliwa kuwa na Corona na kuzuiwa kuingia Kenya, imefikia 78

Tungepima joto hatungefaulu kupata hata mmoja, maana wengi wa hao hawaonyeshi dalili zozote, wanadunda tu freshi, kwanza walishangaa sana kuambiwa wanacho kirusi, na wengi wamerudi Tanzania ndani kuendelea kutema mbegu.
Umejiuliza kwa nini chokaraa, kwenu huko, wako mitaani maisha yao yanaendelea bila kuvaa barakoa au kutakasa mikono?

Hushangai maeneo yenye wakazi wengi kama Kibera (slum area) maisha yanaendelea bila mlipuko wa COVID-19?

Naomba majibu ya maswali hayo kabla ya kulaumu madereva kutoka Tz, ambao kabla ya kuanza safari wamiliki wa nagari yao huhakikisha wako salama. Isitoshe ni watu ambao wanajitolea kufa au kupona kuingia Kenya, nchi yenye maambukizi mengi, wawaletee bidhaa mhimu kwa mahitaji yenu.
 
Nimependa sana hiyo video, naona akili zimeanza kuwaingia.
Sisi hatushinda nyinyi ndiyo mnashida ndiyo maana sasa hivi mmeshaanza kupigwa mabomu ya machozi na mapolisi wenu very soon watawatandika risasi za moto. Hatuna tunachowategemea sana Kenya na hawa walioko TZ hawatapata vibali vya kazi tena!
 
hii sasa hatari!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…