Uchaguzi 2020 Hadi sasa kimkakati CHADEMA wameizidi CCM

Kwanza JPM ilikua si lazima afanye kampeni kazi za serikali zina lala, Yeye ilitakiwa ahutubie wananchi akiwa kama mgombea wa CCM siku moja kabla ya uchaguzi. Kazi nzuri alizofanya zimesha mrudisha tena ikulu.
Haaahaaaaa
 
Baada ya kufunga shule na kulazimisha walimu na wanafunzi kwenda Kirumba? Baada ya kusambaza mabasi mliyoyahonga mji mzima kubeba watu? Mbinu hizo hutumiwa na madikteta tu kupindisha sheria na kudhulumu haki za watu wengine kama vile watoto wa shule Mwanza nzima kukoseshwa masomo kisa kampeni za ccm
 
Ccm makao makuu wanaona hali ni tete ww unaona ipo sawa? Kumbuka wote wapo kwenye kampen kwa sasa majaliwa, samia, maguful kina nape wameambiwa warud haraka lindi hali ni tete we upo chumbani unaangalia cartoon
 
CCM walifikiri watakubalika mbele ya wapigakura, kwa kutumia mali zitokanazo na wananchi wenyewe, bali bila hata ya aibu yoyote ile waliziiba na kuzihodhi, na kudhani ya kuwa zitawasaidia pale endapo unapotokea uchaguzi wa viongozi. Wametambua ya kwamba wananchi wameyatambua matendo yao ya kifedhuli ya kuhujumu na kufisidi rasilimali za nchi.

Wanatambua ya kwamba wamekataliwa na hawakubaliki tena. Hawana tena hoja wala sera zenye kuaminika ama kushawishi wapigakura. Sasa kilichobakia ni matisho na kulazimisha kwa nguvu mambo. Lakini ukweli ni ya kwamba, wananchi wamemkataa shetani na kazi zake zote, ushawishi wake wote, tunguli zake zote za mbio za mwenge, na ulozi wa ndege tausi ambao masharti ya kishirikina yamekiukwa.
 
NIMEKUJA KUGUNDUA HUMU JF KUWA LOWASSA ALIWAVURUGA SANA WANACHADEMA SASA WANAWEWESEKA BADO IVI KWELI KWA HALI NA MWENDO ANAOENDA NAO MAGU KUNA MTU ANAPINGA KUWA MAGU ANASUBIRI KUAPISHWA AAAH JAMANI ACHENI KUJIFARIJI HALAFU KUMBEKENI HIZI NYOMI NI MAPENZI TU KWA MZEE BABA
 
Hii inaitwa za uso
 
Ulichoandika kingekuwa ni kweli Chakubanga asingesema haya.


 
Kwa hiyo wewe unapima kura kwa kuangalia nyomi.
 
Wamechanyikiwa balaa , Mara wasombe watu , watoto , wanafunzi , wanavyuo ,walazimishe watumishi na wanafunzi kwfnda mikutanoni Mpaka aibu .
 
CCM bila wasanii ingekuwa ni aibu tupu, hiyo ndiyo faida ya kuongea peke yako miaka 5 mizima...sasa leo utaongea lipi jipya ili wananchi wavutiwe kukusikiliza?. Kama si kuja kuwashangaa wasanii
 
Mbeya wapo kumtangaza tulia hapa anazindua kampeni jtano na dulla makabila plus wasanii wengine watakuwepo
 
Hivyo.View attachment 1562180
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…