Uchaguzi 2020 Hadi sasa kimkakati CHADEMA wameizidi CCM

Yaani ccm hadi sasa imeshindwa kudadi sera zao badala yake mwanatupa vijembe kwa lisu ambapo vijembe hivyo vinajibiwa kwa usahihi hadi panafikia mahali wanajutia kwanini wanatoa vijembe ambavyo mwishoe vinakuwa mwiba mkali kwa upande wao.
Na sasa kampeni zao zimegeuka kama vile ziala za kiserikali
 
Niliwai sema na nasema tena Tundu Antiphas Lissu ni sawa na Mfalme Daudi na Magufuli ni sawa na Mfalme Sauli.

Sauli alikuwa na majeshi, fitna na fedha za kumshinda Daudi ila Daudi alikuwa na Mungu tu na Mungu aliweza kumshindia vita dhidi ya Sauli!
Kwahiyo kama ccm ikiendelea kubaki madarakani katika uchaguzi huu ndio tuseme upande wa Mungu umeshindwa?
 
Ile ya kukusanya watoto wa shule ?
 
Nani kasema Chadema wasiweke mabango wasitangazwe kwenye TV, hata wakitaka TV gani itakubali, ninachosema pamoja na kunyimwa access hizo zote bado wanaenda sambamba na CCM wenye access hizo.

tuseme ukweli tu kwamba hawana hela. mengine tuache
 
Chadema akili nyingi wkt ccm Magu u mengi kuanzia kwa mwenyekiti wake......
Wamepanic mbaya..
 
Haijawai tokea Mungu akashindwa
Kabla ya Lissu,Slaa ilikuwa inasemwa ni mpango wa Mungu akaja Lowassa pia ikasemwa ni mpango wa Mungu.
Na sasa inasemwa hivyohivyo kwa Tundu Lissu.

Kwahiyo inabidi ukubali tu kuwa hii mipango ya huyo Mungu huwa inafeli.
 
Pamoja na CCM kuwatumia wasanii wote wa Tanzania na wa nchi jirani ya Kenya bado haijawasaidia kuonyesha nguvu ya chama tawala na kikongwe kwenye kampeni yao.

CCM pesa wanayo vyombo vyote vya dola ni vyao, nini tatizo, inawezekana ni kampeni meneja na timu yake ya kampeni, ni wazito au wamefungwa kutoa maamuzi ya haraka.
 
Good observation ingawa haibadili ukweli kuwa CCM wamefanya mikutano mingi zaidi kuliko chama chochote, mgombea wao kila wilaya au centre kubwa anasimama na kuhutubia tofauti na vyama vingine ambavyo vinaenda mkoa kwa mkoa.
Hata mimi nilikuwa najiuliza vyama vya upinzani mbona hawapiti kwenye vijiji na wilaya kuomba kura? Vyama vya upinzani wasijikite mijini tu waende mpaka vijijini watoe sera zao
 
 
Pale munaamuka tarehe mbili nane.. munashuhudia.. maandishi sio namba za kura..

Dozi zaja pokeeni hizi kwanza πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Kwasasa ni kuhakikisha Magufuli na serikali ya ccm inabakia madarakani mambo ya mikakati tutazungumza baadae
 

Kabisa maana ungetema mate popote ungewatemea wanafunzi wa darsa la pili mlowakusanya mwanza yote kasoro visiwa vya ukara
 
Jiandae kwenda nae chato baada ya sisi wananchi kumstaafisha rasmi hapo 28 October 2020.

WEWE ACHA KUREMBA HUYO ANARUDI BURUNDI KIJIJI CHA SEPUKA KAMA HUYO MPAMBE ANATAKA KUM-ESCORT WATAENDA NAE KUJIFICHA KWENYE MICHIKICHI HUKO
 
Ccm wanashinda saa 5 asbh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…