Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
In short Dr.Bashiru ametoa boko 🤣 🤣 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kama ccm ikiendelea kubaki madarakani katika uchaguzi huu ndio tuseme upande wa Mungu umeshindwa?Niliwai sema na nasema tena Tundu Antiphas Lissu ni sawa na Mfalme Daudi na Magufuli ni sawa na Mfalme Sauli.
Sauli alikuwa na majeshi, fitna na fedha za kumshinda Daudi ila Daudi alikuwa na Mungu tu na Mungu aliweza kumshindia vita dhidi ya Sauli!
Ile ya kukusanya watoto wa shule ?Napenda sana Chadema mnavyojipa moyo.
Kwa taarifa yako kampeni ya mkoa mmoja aliyofanya magufuri ni sawa na mikutano yenu yote Chadema iliyofanya katika kanda zote mpaka sasa. CCM ni chama kubwa nadhani leo umeiona vizuri mwanza. CCM KIRUMBA hakukuwa na sehemu ya kutema mate ndani na nje acha kule gola milimani.
Nani kasema Chadema wasiweke mabango wasitangazwe kwenye TV, hata wakitaka TV gani itakubali, ninachosema pamoja na kunyimwa access hizo zote bado wanaenda sambamba na CCM wenye access hizo.
ITV walipewa cash wakazitema.tuseme ukweli tu kwamba hawana hela. mengine tuache
Haijawai tokea Mungu akashindwaKwahiyo kama ccm ikiendelea kubaki madarakani katika uchaguzi huu ndio tuseme upande wa Mungu umeshindwa?
Kabla ya Lissu,Slaa ilikuwa inasemwa ni mpango wa Mungu akaja Lowassa pia ikasemwa ni mpango wa Mungu.Haijawai tokea Mungu akashindwa
Pamoja na CCM kuwatumia wasanii wote wa Tanzania na wa nchi jirani ya Kenya bado haijawasaidia kuonyesha nguvu ya chama tawala na kikongwe kwenye kampeni yao.Uchaguzi ni takwimu, mikakati na mipango ambayo inaonekana wazi kwa macho na isiyoonekana. Kwa inayoonekana ni wazi kuwa....
Pamoja na CCM kuwa na kila kitu kinachotakiwa kwenye kampeni, magari, viwanja, pesa you name it, lkn haina tofauti kubwa na Chadema inayotumia resources chache ilizonazo kwa makini.
Hadi sasa CHADEMA imezindua kampeni katika Kanda kuu zote za Tanzania bara na Zanzibar, huku CCM mgombea wao akizunguka kwenye mikoa michache ya kanda ya kati na Ziwa Victoria tu.
Chama cha Mapinduzi kimehodhi vyombo vyote vya habari TV zote, redio zote, magazeti yote lkn habari zinazo trend zaidi ni za mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu.
Katika kuuza sera CCM wamekuwa wakijitetea zaidi kuliko kutangaza sera zao, mfano juzi mgombea wa CHADEMA alihoji ajira leo serikali imetangaza ajira 13,000 za walimu, Lissu kaongelea bima ya Afya kwa wote Magufuli na Majaliwa nao wanasema watatoa bima bure wakati haipo kwenye ilani yao.
CCM imetandaza mabango ya picha kubwa kubwa za mgombea wao nchi nzima karibu kila ukuta huku Chadema ikionekana kutokuwa na mabango lkn mwitikio wa wahudhuriaji hauna tofauti yoyote.
Pamoja na CCM kuwatumia wasanii wote wa Tanzania na wa nchi jirani ya Kenya bado haijawasaidia kuonyesha nguvu ya chama tawala na kikongwe kwenye kampeni yao.
CCM pesa wanayo vyombo vyote vya dola ni vyao, nini tatizo, inawezekana ni kampeni meneja na timu yake ya kampeni, ni wazito au wamefungwa kutoa maamuzi ya haraka.
Katika tathimini yangu kwa siku hizi za mwanzo wa kampeni CHADEMA imewazidi CCM kwa pointi ingawa siyo nyingi sana.
Hata mimi nilikuwa najiuliza vyama vya upinzani mbona hawapiti kwenye vijiji na wilaya kuomba kura? Vyama vya upinzani wasijikite mijini tu waende mpaka vijijini watoe sera zaoGood observation ingawa haibadili ukweli kuwa CCM wamefanya mikutano mingi zaidi kuliko chama chochote, mgombea wao kila wilaya au centre kubwa anasimama na kuhutubia tofauti na vyama vingine ambavyo vinaenda mkoa kwa mkoa.
vizuri zaid kasha jijengea na airport ya kutua huko io octoba/novemba matokeo yakitangazwaJiandae kwenda nae chato baada ya sisi wananchi kumstaafisha rasmi hapo 28 October 2020.
Napenda sana Chadema mnavyojipa moyo.
Kwa taarifa yako kampeni ya mkoa mmoja aliyofanya magufuri ni sawa na mikutano yenu yote Chadema iliyofanya katika kanda zote mpaka sasa. CCM ni chama kubwa nadhani leo umeiona vizuri mwanza. CCM KIRUMBA hakukuwa na sehemu ya kutema mate ndani na nje acha kule gola milimani.
Kwa hiyo?
wewe ndio sisi watanzania ambao tutapiga kura? hadi unatoa takwimu pumbaSioni ni wapi chadema imewazidi ccm wakati kura zikipigwa lisu hatazidi asilimia 20 ya kura!
Napenda sana Chadema mnavyojipa moyo.
Kwa taarifa yako kampeni ya mkoa mmoja aliyofanya magufuri ni sawa na mikutano yenu yote Chadema iliyofanya katika kanda zote mpaka sasa. CCM ni chama kubwa nadhani leo umeiona vizuri mwanza. CCM KIRUMBA hakukuwa na sehemu ya kutema mate ndani na nje acha kule gola milimani.
Jiandae kwenda nae chato baada ya sisi wananchi kumstaafisha rasmi hapo 28 October 2020.
Ccm wanashinda saa 5 asbhUchaguzi ni takwimu, mikakati na mipango ambayo inaonekana wazi kwa macho na isiyoonekana. Kwa inayoonekana ni wazi kuwa....