Uchaguzi 2020 Hadi sasa kimkakati CHADEMA wameizidi CCM

Napenda sana Chadema mnavyojipa moyo.

Kwa taarifa yako kampeni ya mkoa mmoja aliyofanya magufuri ni sawa na mikutano yenu yote Chadema iliyofanya katika kanda zote mpaka sasa. CCM ni chama kubwa nadhani leo umeiona vizuri mwanza. CCM KIRUMBA hakukuwa na sehemu ya kutema mate ndani na nje acha kule gola milimani.

Si nyie ndiyo mlisema Chadema imekufa sijui nini upuuzi puuzi mwingi tu humu ndani.

Kuna kitu lazima muelewe kuwa ,mawazo mbadala hamuwezi yazuia kwa kununua wabunge,
Upinzani upo tu na utaendelea kuwepo mioyoni mwa watu wengi tu ,ambao hawaridhishwi na hali ya mambo inavyokwenda ndani ya nchii hii.
Kuna makosa mengi tu ya kimkakati ambayo serikali ya ccm imefanya,

Kuzuia Bunge Live lilikuwa kosa kubwa sana,
Kupiga marufuku Siasa wakati wao miaka 5 wao walikuwa wanafanya,
Angalia sasa nguvu kubwa mnayotumia katika kampeni zenu ni kama hamkufanya chochote ndani ya miaka 5.
Hivi weww na ccm yako mlishawahi jiuliza Watanzania hawa wanataka nini.?
Mnaleta habari za ndege sijui madaraja kweli kwa Mtanzania huyu wa leo ambaye anaishi chini ya dola 1,kupata milo 2 ni shida unamletea habari za madaraja eti ndiyo sera.
Alafu bado kwenye kampeni unamtisha kwa maneno ya hovyo hovyo yasiyo na tafsida.
 
Niliwai sema na nasema tena Tundu Antiphas Lissu ni sawa na Mfalme Daudi na Magufuli ni sawa na Mfalme Sauli.

Sauli alikuwa na majeshi, fitna na fedha za kumshinda Daudi ila Daudi alikuwa na Mungu tu na Mungu aliweza kumshindia vita dhidi ya Sauli!
😂😂😂nacheka kama mazuri ila ndo ukwel huo...
 
Niliwai sema na nasema tena Tundu Antiphas Lissu ni sawa na Mfalme Daudi na Magufuli ni sawa na Mfalme Sauli.

Sauli alikuwa na majeshi, fitna na fedha za kumshinda Daudi ila Daudi alikuwa na Mungu tu na Mungu aliweza kumshindia vita dhidi ya Sauli!
Huyu Mungu mnayemsemea ni Mungu yupi.
Huyu huyu tunayemwamini? Huyu huyu aliyesema tusihukumu tusije tukahukumiwa? Ni huyu aliyekataza ushoga?

Maana kati ya hao wawili kuna mmoja ni mmumini wa ushoga kwa kigezo cha haki za binadamu
 
Huyo huyo anayepinga ushoga!! Kwani Tundu Lissu amekwambia anaunga mkono ushoga??? Au umelishwa matango pori unakuja kuharisha humu???
 
Kura yangu nampa Mungu kwani ni yeye kamtuma mwana wake wapekee Yesu kristo ambaye alinifia msalabani kwa ajili ya dhambi zangu.
Nchi na vyote vijazwavyo ni mali ya bwana dunia na wote wakao ndani yake.
So hilo ndio maoni yangu.
 
CCM sina tatizo nayo ila hili Lijiwe bin magufuli, nalichukia hili li Rais ni hakuna mfano wake sijui kwa nini!!! japo limefanya mengi mazuri ila moyoni silipendi, nahisi kutapika, kuugua hivi!! kila likijipitisha kujinadi na kufanya campaign, hawezi kushinda hata robo ya kura hapati nataka iwe ivo! na imeshakuwa! Nikitamka ni kweli! sitaki life ila lione cha moto lijue kuwa na renyewe ni ri binadamu!
Tarime sehem mgan rikamanda?
 
Si nyie ndiyo mlisema Chadema imekufa sijui nini upuuzi puuzi mwingi tu humu ndani.

Kuna kitu lazima muelewe kuwa ,mawazo mbadala hamuwezi yazuia kwa kununua wabunge,
Upinzani upo tu na utaendelea kuwepo mioyoni mwa watu wengi tu ,ambao hawaridhishwi na hali ya mambo inavyokwenda ndani ya nchii hii.
Kuna makosa mengi tu ya kimkakati ambayo serikali ya ccm imefanya,

Kuzuia Bunge Live lilikuwa kosa kubwa sana,
Kupiga marufuku Siasa wakati wao miaka 5 wao walikuwa wanafanya,
Angalia sasa nguvu kubwa mnayotumia katika kampeni zenu ni kama hamkufanya chochote ndani ya miaka 5.
Hivi weww na ccm yako mlishawahi jiuliza Watanzania hawa wanataka nini.?
Mnaleta habari za ndege sijui madaraja kweli kwa Mtanzania huyu wa leo ambaye anaishi chini ya dola 1,kupata milo 2 ni shida unamletea habari za madaraja eti ndiyo sera.
Alafu bado kwenye kampeni unamtisha kwa maneno ya hovyo hovyo yasiyo na tafsida.
Pole kwa vyeti feki na kutumbuliwa, we ulitaka CCM ije na sera ya kukuwekea milion mojamoja kwa kila mtanzania mwenye asiyefanya kazi na mwenye kufanya kazi ili tuu uipende?
Kuongoza nchi sio kuongoza familia, maendeleo kwa kutengeneza miundo mbinu kwa nchi zinazokuwa kama Tanzania ni swala la msingi.

Hatuwezi kufanya biashara za mabillion na nchi jirani kama congo,zambia burundi rwand nk.kama hatuna miundo mbinu wezeshi kama mabarabara mazuri na imara,hayo madaraja unayoyapiga vita,reli nk.
nachoweza kukushauri ndugu, ni achana na wanasiasi wanao brain wash kwa maslai yao wenye aswa pale maslai yao yakiguswa .watakuambia hivi ama vile lakini ukweli wao wanajua ni nini kinachotakiwa kifanyike,mfn.
Utawala wa Jk mbunge kama john heche aliwahi kuongea bungeni tz hakuna ndege, lakini the same kiumbe anakuja kulala mika kwanini magu amenunua ndege. Wanasiasa wasikupelekeshe.
 
Ile ahadi ya 50 milioni kwa KILA KIJIJI iliotea mbawa wapi?
 
Mmeshaset na idadi ya kura?
Yani mmeshajua matokeo sio?

Haya majambazi ya CCM yalishapiga kura xiko kwene masanduku yao watakayobadilisha siku ya Uchaguzi!!! Nani asiyejua kwamba Goli la mkono ndo jadi yao.....????
 
Kwanza JPM ilikua si lazima afanye kampeni kazi za serikali zina lala, Yeye ilitakiwa ahutubie wananchi akiwa kama mgombea wa CCM siku moja kabla ya uchaguzi. Kazi nzuri alizofanya zimesha mrudisha tena ikulu.
kazi zipi?
 
Tarime sehem mgan rikamanda?
Moghabiri kijiji cha ujamaa, pare Kibumaye kwenye Sabato, njia ya kuelekea ke-ng'ombe, kupitia uwanja wa shule ya msingi jirani kabisa na Chacha Matinyi-mchungaji kwa mbele!
 
CCM sina tatizo nayo ila hili Lijiwe bin magufuli, nalichukia hili li Rais ni hakuna mfano wake sijui kwa nini!!! japo limefanya mengi mazuri ila moyoni silipendi, nahisi kutapika, kuugua hivi!! kila likijipitisha kujinadi na kufanya campaign, hawezi kushinda hata robo ya kura hapati nataka iwe ivo! na imeshakuwa! Nikitamka ni kweli! sitaki life ila lione cha moto lijue kuwa na renyewe ni ri binadamu!
Huyu jamaa ni mtu muovu sana hatupaswi kuruhusu nchi yetu iongozwe na mtu muovu namna hii
 
Back
Top Bottom