matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Wafia Chadema mitandaoni karibu wote wako upande wa LISSU.
Watu wanaoikosoa Serikali bila kuwa na mlengo wa chama wako na Lissu.
Inaonekana picha ya Upinzani mitandaoni ni chama kisicho na ukaribu kabisa na watawala. Yaani ule wa kupinga na kuponda. Chochote nje ya hapo unahesabika ni CCM au Pro CCM.
Tukio lMbowe kushinda litapoozesha kabisa Siasa mitandaoni.