matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
..ushabiki haujawahi kuleta badiliko lolote mahali popote! Hao ndio wafuasi wa Lisu..Wafia Chadema mitandaoni karibu wote wako upande wa LISSU.
Watu wanaoikosoa Serikali bila kuwa na mlengo wa chama wako na Lissu.
Inaonekana picha ya Upinzani mitandaoni ni chama kisicho na ukaribu kabisa na watawala. Yaani ule wa kupinga na kuponda. Chochote nje ya hapo unahesabika ni CCM au Pro CCM.
Tukio lMbowe kushinda litapoozesha kabisa Siasa mitandaoni.
Cç ErythrocyteWafia Chadema mitandaoni karibu wote wako upande wa LISSU.
Watu wanaoikosoa Serikali bila kuwa na mlengo wa chama wako na Lissu.
Inaonekana picha ya Upinzani mitandaoni ni chama kisicho na ukaribu kabisa na watawala. Yaani ule wa kupinga na kuponda. Chochote nje ya hapo unahesabika ni CCM au Pro CCM.
Tukio lMbowe kushinda litapoozesha kabisa Siasa mitandaoni.
Siasa ilipogeuka chanzo cha mapato, sasa hivi misimamo imetawanyika...ushabiki haujawahi kuleta badiliko lolote mahali popote! Hao ndio wafuasi wa Lisu..
Itapoa sana. Maana ground hakunaga chadema, hawa wa mitandaoni ndio wanasaidia kupush huko ground.Mbowe mwenyewe anajua kabisa akilazimisha kuwa mwenyekiti Tena chadema inamfia ndio maana anakomaa kuvuta pension
Mbowe anaingia mtego mbaya sana wa CCM. Hata lini hasimu wako akakushauri nn cha kufanya na wewe ukafuata!! Maccm wote walikuwa wanapambana Mbowe achukue form huo si uzwazwa.Siasa ilipogeuka chanzo cha mapato, sasa hivi misimamo imetawanyika.
..labda hao wanaotengeneza chuki za kuunda kudanganya kiongozi asiye na exposure km mwendazake kwa kupika majungu na operations fake kuua vyama vya siasa ili waonekane wanafanya kazi..Siasa ilipogeuka chanzo cha mapato, sasa hivi misimamo imetawanyika.
..kati ya mashinji na mbowe nani alikuwa anatumikia ccm? unahitaji akili ya rocketing science kufahamu mtu anayerubuniwa kirahisi..kwa hiyo walionyang'anya mashamba ya mbowe moshi, wamerudisha..bilicanas imejengwa vile yuko na ccm?Mbowe anaingia mtego mbaya sana wa CCM. Hata lini hasimu wako akakushauri nn cha kufanya na wewe ukafuata!! Maccm wote walikuwa wanapambana Mbowe achukue form huo si uzwazwa.
I thought baada ya 2025 angejifunza kutokana na makosa. Amerudi mule mule tena.
Tatizo matokeo ni kama yanatabilika.Waende wakapige kura basi.
Ngoja tuone.Ukiwa na akili timamu huwezi kumsupport Mbowe alichofanya, alitakiwa mpaka sasa awe ameshamwandaa mtu wa kushikikia uongozi wa chama. Huu ni upumbavu sana, hakuna anayeweza kusupport huu upumbavu. Bora chadema ikafa kikatokea chama kingine.
Ingawa mbowe hajachelewa kuokoa chama kugawanyika. Amekubali kuingia kwenye mtego wa CCM kichwa kichwa. Zero brain!
Sijajua kwann hajajifunza ujinga waliofanya mwaka 2015, ndo unajirudia tena 2025, upuuzi mtupu. Leo Chadema ingekuwa na nguvu sana kama siyo makosa ya 2015.
Inaonekana upinzani bado hawapo serious kuwa wapinzani.