Hadi sasa nimeshatumia 12,000$ kwenye matangazo Instagram (Facebook). Je, Serikali huwa inakusanyaje Income tax kwa hii kampuni?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Ofisi zao hawa Facebook kwa hapa Dar ziko wapi? Na kwa mabilioni yote haya wanayochuma kama faida toka nchi Tanzania, wanalipa kodi ya mapato (income tax)? Na wanailipaje?

Maana itakuwa sio fair makampuni mengine kama Wasafi Media, Clouds Media, IPP media na wengine walipe kodi ya mapato na zingine kibao, halafu mshindani wao wa moja kwa moja katika kugombania matangazo hayo hayo yeye halipi kodi, FCC wanalipi la kusema?

==================================
Update: 01/09/2021
Mwigulu ameliona suala hili

=================================
Update: 22/04/2022

Ofisi zao hawa Facebook kwa hapa Dar ziko wapi? Na kwa mabilioni yote haya wanayochuma kama faida toka nchi Tanzania, wanalipa kodi ya mapato (income tax)? Na wanailipaje?
Hawalipi kwa sababu hawajasajiliwa hapa Tanzania, ila tunafaidika nao indirectly kwa sababu hayo matangazo maana yanawafikia wateja wateja wakinunua bidhaa serikali inapata kodi na watu wanapata ajira, haya makampuni yameshakua mashetani malaika ni ether uwatumia maana ukisema uyafungia hata bundle tutaacha kununua na makampuni ya simu yanaolipa kodi hapa Tanzania kwa kutuuzia bundle yatafilisika.
 
Ofisi zao hawa Facebook kwa hapa Dar ziko wapi? Na kwa mabilioni yote haya wanayochuma kama faida toka nchi Tanzania, wanalipa kodi ya mapato (income tax)? Na wanailipaje?...

Hawalipi kodi na hamna chochote serikali yako inaweza kuwafanya. Instargram na facebook tu imeweza kuajiri vijana wengi kuliko hata hio serikali yako
 
Hawalipi kwa sababu hawajasajiliwa hapa Tanzania, ila tunafaidika nao indirectly kwa sababu hayo matangazo maana yanawafikia wateja wateja wakinunua bidhaa serikali inapata kodi na watu wanapata ajira, haya makampuni yameshakua mashetani malaika ni ether uwatumia maana ukisema uyafungia hata bundle tutaacha kununua na makampuni ya simu yanaolipa kodi hapa Tanzania kwa kutuuzia bundle yatafilisika.
Hiyo bidhaa hata ingetangazwa na JF bado ingewafikia tu wateja, ishu hapa ni kwamba wanaingiza mapato toka Tanzania, kwanini hakuna mfumo wa kuchukua income tax kwa income waliyovuna? Why??!!!
 
......wale jamaa wanachouzia ni coverage kubwa na analytical tools ambazo ni most advanced, mfano unaweza kuweka Tangazo la nguo kwa hawa kina fb na google na likawa linawafikia watu ambao utaamua wewe mfano wenye umri fulani ambao ndio size ya hiyo nguo, wanaoishi ukanda fulani ambao ndio rahisi kuwapelekea hizo nguo lakini pia wenye interest tayari na nguo ambao wanaidentify kupitia cookies kutoka kwenye website watu wanazovisit...hapa kazini kwetu wanaweza kuweka Tangazo ambalo halitaonyeshwa kwa wanaotafuta ajira, watoto na mid range wanafunzi wanajua kabisa hawo hawawezi kuwa wateja wao...kiufupi ni kuwa hawa jamaa wamewekeza kiasi kikubwa sana kwenye advertising na wana profile/Data za wanadamu wengi sana kuwahi kukusanywa hali amabayo inawawekea ngumu sana local advertisers kushindana nao.
 
Hiyo bidhaa hata ingetangazwa na JF bado ingewafikia tu wateja, ishu hapa ni kwamba wanaingiza mapato toka Tanzania, kwanini hakuna mfumo wa kuchukua income tax kwa income waliyovuna? Why??!!!
Haya mimi nina bidhaa zangu, soko lake ni wanawake wenye miaka 16-20 walioko Manchester, UK haya nipe maujuzi nawafikiaje hao wateja kwa kupitia JF?

Wewe jamaa huna unachojua kuhusu Digital marketing na inavyoonekana zaidi ya kusoma soma watu wanaofanya, wewe hujawahi kutangaza kwa hata kwa kutumia $1.
 
Dola elfu kumi na mbili ni pesa ndefu lakini hivi mfano fb imesajiliwa Marekani. Means taarifa zao za mapato na matumizi wanaziwasilisha IRS ambao ndiyo wanaipokea hiyo kodi.

Ikatokea kwamba na hapa wanalipa kodi si itakua double taxation?

Naifananisha na ishu ya mabondia wanapoenda kupigana nje ya nchi zao mfano Manny Pacquiao alikua anapigana Marekani alivyorudi Ufilipino wakamfungia akaunti zake kwa kukwepa kodi.

Utetezi wa Manny ukawa ni kwamba kodi alishakatwa Marekani, Ufilipino wakakomaa kwamba iweje wakati yeye ni mfilipino na anatakiwa kodi awalipe ufilipino. Manny akajibu ni kwakua alipigana Marekani na pesa alilipiwa kule Manny akawa anajitetea kukwepa hii double taxation.

So kwa fb itakuaje? Akatwe kodi kwa dola 12000 na TRA kisha mwisho wa mwaka akipeleka taarifa za mapato na matumizi IRS wamkate kodi ya hiyo hiyo dola 12000.
 
Haya mimi nina bidhaa zangu, soko lake ni wanawake wenye miaka 16-20 walioko Manchester, UK haya nipe maujuzi nawafikiaje kwa kupitia JF?

Wewe jamaa huna unachojua kuhusu Digital marketing na inavyoonekana zaidi ya kusoma soma watubwanaofanya, wewe hujawahi kutangaza kwa $1.
huyu mdau anataka kutuingiza mjini $12000 nizaidi ya 25milion halafu hajui basic principle za online marketing
 
Hiyo bidhaa hata ingetangazwa na JF bado ingewafikia tu wateja, ishu hapa ni kwamba wanaingiza mapato toka Tanzania, kwanini hakuna mfumo wa kuchukua income tax kwa income waliyovuna? Why??!!!
boss ukitangaza apa sawa lakn kwenye fb/inst/google amna mtu anekusumbua mana unaweza amua kutangaza au kuzima tangazo yaani wewe ndio controller ndio inatuwia ngumu kutangaza kwa tz mana unaweza pata presha bure na je bei zetu unakuta kubwa sana
 
Haya mimi nina bidhaa zangu, soko lake ni wanawake wenye miaka 16-20 walioko Manchester, UK haya nipe maujuzi nawafikiaje hao wateja kwa kupitia JF?

Wewe jamaa huna unachojua kuhusu Digital marketing na inavyoonekana zaidi ya kusoma soma watu wanaofanya, wewe hujawahi kutangaza kwa $1.
Hiyo haiondoi hoja kwamba sheria inataka mtu alipe income tax kwa income aliyoingiza, au income maana yake ni nini?
 
K
Dola elfu kumi na mbili ni pesa ndefu lakini hivi mfano fb imesajiliwa Marekani. Means taarifa zao za mapato na matumizi wanaziwasilisha IRS ambao ndiyo wanaipokea hiyo kodi.

Ikatokea kwamba na hapa wanalipa kodi si itakua double taxation?

Naifananisha na ishu ya mabondia wanapoenda kupigana nje ya nchi zao mfano Manny Pacquiao alikua anapigana Marekani alivyorudi Ufilipino wakamfungia akaunti zake kwa kukwepa kodi.

Utetezi wa Manny ukawa ni kwamba kodi alishakatwa Marekani, Ufilipino wakakomaa kwamba iweje wakati yeye ni mfilipino na anatakiwa kodi awalipe ufilipino. Manny akajibu ni kwakua alipigana Marekani na pesa alilipiwa kule Manny akawa anajitetea kukwepa hii double taxation.

So kwa fb itakuaje? Akatwe kodi kwa dola 12000 na TRA kisha mwisho wa mwaka akipeleka taarifa za mapato na matumizi IRS wamkate kodi ya hiyo hiyo dola 12000.
aingiza pesa Tanzania, kodi anapaswa kulipa wapi?
 
huyu mdau anataka kutuingiza mjini $12000 nizaidi ya 25milion halafu hajui basic principle za online marketing
Hoja iko wazi, pesa ameingiza Tanzania, kodi anapaswa kulipa wapi? Au income tax maana yake nini?
 
K

aingiza pesa Tanzania, kodi anapaswa kulipa wapi?
Mimi swali langu halipo hapo.

Lipo hapa kwenye kusema akiwasilisha nyaraka zake IRS ataijumuisha na hii dola 12000? Akiijumuisha si itasababisha double taxation?

Hilo ndiyo swali langu.
 
Back
Top Bottom