Hadi Sasa Nina Watu 100 Wamehamasika Twende Tukaiondoe Morocco Ijumaa, Wewe Unangojea Nini

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
Nimetengeneza kundi la wasap nimewaunganisha watu 100 na kuwaomba sana ijumaa mtoko ni Lupaso tu not otherwise.

Chonde chonde mtanzania Morroco atakufa kWa umoja na mshikamano

Waganda wako juu sana kwenye Hamasa, wakenya wako juu vibaya mno ktk Hamasa

Ni kushangilia mwanzo mwisho ijumaa ili weekend iende njema.

Inshallah tuta ula kWa uwezo wa mwenyezi mungu
 
kuja sio tatizo kabisa ila tatizo ni pale tunapokuja kibao kinageuka inakuwa ni mama mama mama kwakweli hapana mimi na mjita zangu tumekubaliana hatukanyagi huko tukisikia kelele tunafungulia radio na kisha tunazima tena
 
Nenda kashangilie na chawa wenzio, timu imejaza wapemba kumfurahisha amini mama. Lazima Morocco atuchape kisawasawa
 
Mimi nipo nanyi wazee sema ntashangilia huku huku Jozi waondoeni hao wazala..
 
Nendeni wenyewe ,100 mnatosha sana
 
Usimsahau mnyakyusa Lucas Mwashambwa
We Yule Ni Msafwa,Usituletee Takataka Lucas Mwashambwa Kwa Watu Ma-genius
Wanyakyusa,sisi Hatuungi Mkono Ujinga Wa Mbogamboga.
Aulizwe Tulia Kwanini Haendi Kugombea Unyakyusani,yupo Uyole Kwa Wasafwa ?
 
Unasema??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…