Super mega
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 1,176
- 2,372
Hatuna mnakyusa wa dizaini ya huyo bro huyo ni mtu w mbozi huko.Usimsahau mnyakyusa Lucas Mwashambwa

Tanzania hakuna hakiNimetengeneza kundi la wasap nimewaunganisha watu 100 na kuwaomba sana ijumaa mtoko ni Lupaso tu not otherwise.
Chonde chonde mtanzania Morroco atakufa kWa umoja na mshikamano
Waganda wako juu sana kwenye Hamasa, wakenya wako juu vibaya mno ktk Hamasa
Ni kushangilia mwanzo mwisho ijumaa ili weekend iende njema.
Inshallah tuta ula kWa uwezo wa mwenyezi mungu
Mpelekeni Maushungi chura kiziwi bibi kazimkazi...anatosha.Nimetengeneza kundi la wasap nimewaunganisha watu 100 na kuwaomba sana ijumaa mtoko ni Lupaso tu not otherwise.
Chonde chonde mtanzania Morroco atakufa kWa umoja na mshikamano
Waganda wako juu sana kwenye Hamasa, wakenya wako juu vibaya mno ktk Hamasa
Ni kushangilia mwanzo mwisho ijumaa ili weekend iende njema.
Inshallah tuta ula kWa uwezo wa mwenyezi mungu
Siyo mnyakyusa mbwa huyo ni mmalila au mnyihaUsimsahau mnyakyusa Lucas Mwashambwa