Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu sio mwenzao kweli ki kaziNasikia Tatu Malogo yupo kwenye one and two
Nimekwambia TFF kama wanampenda Sana TATU MALOGO wamuajiri ofisini kwao. Hakuna refa mpuuzi kama huyu.Hii mechi wamepewa kina dada pekee na mwanaume mmoja Tabora ni wananyongwa hadharani na line two
Napenda jkt washinde ila sio kwa namna hii
Kuna kitu hakiko sawa ndio maana hata ma official wa mkoa wa Tabora hawakuwepo kabisa uwanjani japo siku Moja nyuma waliahidi 50 ml endapo team itashinda ila zile offside zilikuwa wazi sana hata asie jua angepuliza maana ni full bodyMagoli ya off side ya wazi yamewatoa Tabora mchezoni. Lakini kuna kitu kama hakipo sawa hivi. Either kuna mchezo umechezwa ama nini maana JKT ni yimu ya jeshi na Hali kama hii iliwakuta Mbeya city na Mbeya city wakalalamika hawa wa leo wala hawalalamiki baada ya mechi kuisha.