Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #21
Unaposema mradi wa Magufuli unamaanisha nini???Mradi upi mpya wa Samia? yote mikubwa ameirithi kwa Magufuli.
Mradi ni wa Serikali ya CCM iliyoshinda uchaguzi na ilani yake ndo inafanyiwa kazi kwa sasa???
Kibachoangaliwa ni serikali ya nani inatoa hela kutekeleza.
Ukisema hayo basi hata SGR sio mradi wa Magufuli Kwa sababu mipango ilifanywa na JK, Terminal 3 na ndege za ATCL itakuwa sio miradi ya Magufuli maana mipango ilifanywa na JK. Pia Mloganzila na Daraja la kigamboni haitakuwa miradi ya Magufuli maana ilipangwa na kuanza kutekelezwa na JK