Hadi sasa Rais Samia ndiye bora zaidi, anafanya kila kitu kwa ustadi mkubwa

Mradi upi mpya wa Samia? yote mikubwa ameirithi kwa Magufuli.
Unaposema mradi wa Magufuli unamaanisha nini???
Mradi ni wa Serikali ya CCM iliyoshinda uchaguzi na ilani yake ndo inafanyiwa kazi kwa sasa???

Kibachoangaliwa ni serikali ya nani inatoa hela kutekeleza.

Ukisema hayo basi hata SGR sio mradi wa Magufuli Kwa sababu mipango ilifanywa na JK, Terminal 3 na ndege za ATCL itakuwa sio miradi ya Magufuli maana mipango ilifanywa na JK. Pia Mloganzila na Daraja la kigamboni haitakuwa miradi ya Magufuli maana ilipangwa na kuanza kutekelezwa na JK
 
Huko hospital hizo huduma wanapata bure? Lakini mbona maraisi wengine hawakufanya hayo?
Kwahiyo unachotaka ni aige marais wengine???

Nyinyi si ndio mnalaumu marais wengine hawajafanya kitu???
 
nakubaliana na wewe mtoa mada.they have expanding the base of tax paying wider range.hii .inamaana kubwa sana
 
Mradi mpya wa Samia ni kukusanya tozo tu, hiyo miradi nimesema ni ya Magufuli kwasababu Samia ameirithi na Magufuli alikuwa akiiendesha bila kukusanya hizi tozo, sijui unasifia kitu gani hapo.
 
UPUUZI MTUPU!!!!
 
Uwe unataka au hutaki tozo au useme vyovyote unavyojiskia ni kwamba tozo utatoa na zitaleta tija kama unavyoona hapo juu.

Mwisho wa siku credit zitarudi kwa mh.Rais ..kwa akili zako za kipumbavu unadhani wananchi kwenye hizo kata wanakojenga vituo vya afya Wana mawazo ya kipumbavu kama yako?
 
Kwa miradi hii Kama ndo inamaanisha nchi iko kwenye auto pilot basi ni sawa iwe kwenye auto pilot hata kwa miaka 300 zaidi
Achana na mpumbavu huyo,hao walisema watu wameacha kutuma miamala sijui nn lakini wapi lengo linatimia
 
Ameamua tu kujitoa ufahamu
 
Mradi mpya wa Samia ni kukusanya tozo tu, hiyo miradi nimesema ni ya Magufuli kwasababu Samia ameirithi na Magufuli alikuwa akiiendesha bila kukusanya hizi tozo, sijui unasifia kitu gani hapo.
Unajua takwimu za deni la Taifa kipindi cha awamu ya Tano?
 
Huko hospital hizo huduma wanapata bure? Lakini mbona maraisi wengine hawakufanya hayo?
Hawakufanya sawa wewe kwa akili yako unaona ni sawa kujenga vituo vya afya 460 kwa miaka 6? Na je population iko static?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…