Hadi sasa waislamu ndio wanaoongoza kwa waumini wengi wenye imani moja Tanzania. Wakristo wamegawanyika madhehebu mengi yasiyo na ushirikiano

Hadi sasa waislamu ndio wanaoongoza kwa waumini wengi wenye imani moja Tanzania. Wakristo wamegawanyika madhehebu mengi yasiyo na ushirikiano

Pia Bakwata na shuraa ya maimamu nidini nyingine ,,Kama unabisha wafungie sheikh mkuu wa mkoa na ndg Ponda ndani halafu wape gloves uone kitakachotokea.
Hata bila gloves moto utakaowaka utaona hadi ndani ya kanzu wamevaa nini

Varangati litakalotokea lazima kanzu ifunuliwe ya kila mmoja kila mmoja akipiga yowe takbiriiiii!
 
Cha muhimu ni kwamba wanamtaja Yesu, mbinguni huingiu kwa jina la dhehebu lako, unaingia kwa kuwa ulimkubali Yesu na kuyaishi aliyoyafundisha.
 
Waislamu wana madhehebu makubwa mawili yale ya wadtaarabu na wale siasa kali kuchinja mtu dakika tu.Boko haramu ,Alkaida ,ISIS, Alshabab nk nuksi hao hawatakai na waiskamu wenzao Bakwata hao washari hatari

Wakristo tunayo madhehebu mengi ila hayana Shari kwa dhehebu lingine au mtu akihama dini au dhehebu harangaziwi fatwa au kifo
Hpa tunazungumzia mazingira ya hapa kwetu Tanzaniai, Tukianza kuzungumzia dunia nzima hata wakristo wana madhehebu zaidi ya elf 45
 
Muhimu: Uzi huu umejikita kwa mazingira ya Tanzania na sio nchi za nyingine

Hii ni kwa sababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel ndani ya kanisa, wapo wanaotaka dhehebu liwe la jumamosi, wapo wanaotaka dhehebu linaruhusu kula nguruwe, wapo wanaotaka dhehebu linalohamasishwa kunywa pombe kwa kigezo cha mnywaji, wapo wanaotaka dhehebu la kuhuburi kwa nguvu na kukekemea utafkiri wanaemuomba ni kiziwi.

Wapo wanaotaka dhehebu linaloruhusu wanawake kuhubiri, wapo wanaotaka dhehebu linalombana padre asije kujamiana maisha yake yote ilhali ni mwanaume rijali mwenye matamanio , wapo wanaotaka kubatizwa kwa kutumia kikombe cha chai na si kuzamishwa, n.k

Mipasuko ya madhehebu inaendelea kila tofauti zinapotokea, mpaka hapa tulipo kuna madhehebu yapatayo zaidi ya mia ya kikristo nchini Na kila dhehebu linadai kuwa lipo sahihi kuliko lingine

Katika Watanzania 100 unaweza kukuta waislmu 35 (kati ya hawa utawakuta 33 dhehebu kuu napengine wawili madhehebu mengine), upande wa kikiritsto utawakuta waroma 25, waluteri 15, wasabato 10, na wengine waliobaki wakiwa wamegawanyika kwenye madhehebu kibao huko kwa Masanja mkandamizaji, Tag, Moravian, Mashaidi wa Yehova, efata, kwa kina Gwajima, Lusekelo, kwa Kakobe, mwamposa, mwakasege , kuhani Musa, jodevi, shila, n.k

Kwa hali hii ambayo wakristo wametenganika sana ni dhahiri kwa sasa waislamu ndio wanoongoza kwa kuwa wengi katika imani moja.
Kanisa ni moja tu aliloacha Kristu na ndio linaitwa Katoliki yaani la ulimwengu. Na sio Roma. Soma historia vizuri. Hao wengine wamejitoa kwa matakwa yao na ndio madhehebu.
 
Kanisa ni moja tu aliloacha Kristu na ndio linaitwa Katoliki yaani la ulimwengu. Na sio Roma. Soma historia vizuri. Hao wengine wamejitoa kwa matakwa yao na ndio madhehebu.
kama wewe unavyoamini hivyo basi ni kila dhehebu linadai kuwa lipo sahihi kuliko lingine.
 
Ebu wataje hao waislam walioanzisha makanisa.
Wapo. Hata kwenye shuhuda zao wansema walikuwa watu wa imani hiyo.

Na wengine waliwahi kuwa waganga wa jadi. Wapo ninaowafahamu ila inawezekana wewe usiwafahamu.
Dini zisitufarakishe.
 
Pia Bakwata na shuraa ya maimamu nidini nyingine ,,Kama unabisha wafungie sheikh mkuu wa mkoa na ndg Ponda ndani halafu wape gloves uone kitakachotokea.
Shura ya maimamu siyo dhehebu wao na bakwata wote ni Sunni sema hicho kikundi cha shura ya maimamu na vikundi vingine vingi kama hivyo watu wanavisajili wakati mwingine ni kwa maslahi binafsi sema wanajiegemeza kwenye dini.
 
kwa mjinga hawezi kuona tatizo ila kwa mwerevu anaejua hata mambo ya divide and rule lazima atafakari
Madhehebu lazima yawepo maana watu wanatafsiri na mitizamo tofauti ya kikristo hivyo sio dhambi yakiwepo kama unahofia hilo unajipa wasiwasi wa bure tu.
 
Hii inakusaidia nini mkuu hivi sisi wa Africa tuna nini lakini? Yaani mimi nkiona mtu analeta uzi wenye mambo ya kidini hasa kulinganisha linganisha namuona kama anakasoro kubwa sana kwenye ubongo wake
 
Umepotosh mzee na kuandika pumba. Ukristo ni tofauti na Uislamu na ipo wazi sisi hatuna tofauti. Msingi wa Ukristo na wakristo wote ni mmoja tofauti na Waislamu. Wakristo wote wanaamini katika Yesu Kristo. Hakuna Dhehebu la Kikristo lisiloamini katika Kristo. Wote tunaamini katika Kuzaliwa, kufa na kufufuka kwa Kristo. Na huo ndio msingi wa Kikristo. Wote tunaamini Kristo ni Mwana wa Mungu na ni Mungu madhehebu yanatokana na matokeo ya kibinadamu tu na mwenye kanisa anajua hilo ndio maana alikosoa, alisifu na kushauri nini cha kufanya kwa makanisa 7 ya Efeso katika Ufunuo 1 hadi 3.

Hii ni tofauti na waislam. Wapo wanaomuamini mme (56) wa Aisha (9) na Marioo wa Amina na wapo wanaomuamini mtume mwingine na hii ndiyo chanzo cha mauaji ya kisuni, amadia na kishia.
 
tunakoendea pia kuwa wakristo dhehebu lao litakuwa Uislamu na watakuwa wanafanyia ibada misikitini.
 
Ukiona dini imeingiliwa na migawanyiko mingi ,na ushindani mkubwa ,....ujue umo ndo kwenye mlango wakutokea ,na umo ndo kwenye ushindi....unachotakiwa wewe ni kusimama kwenye Imani mana miruzi ni mingi ,hata shetani sikuizi anamuhubiri yesu.....
 
Mtoa mada vipi kwenye top 10 ya necta form six kuna waislamu wangapi?
 
Back
Top Bottom