Hadi sasa waislamu ndio wanaoongoza kwa waumini wengi wenye imani moja Tanzania. Wakristo wamegawanyika madhehebu mengi yasiyo na ushirikiano

Waislamu wana madhehebu makubwa mawili yale ya wastaarabu na wale siasa kali kuchinja mtu dakika tu.Boko haramu ,Alkaida ,ISIS, Alshabab nk nuksi hao hawakai na waiskamu wenzao Bakwata hao washari hatari

Wakristo tunayo madhehebu mengi ila hayana Shari kwa dhehebu lingine au mtu akihama dini au dhehebu harangaziwi fatwa au kifo
...
Screenshot_2022-08-28-17-08-22-10_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuja kujua kumbe hata wao wanayo mengi na wanapingana sana. Nina rafiki toka Pakistan ni muislam sikumbuki dhehebu lake ila amekuwa mkimbizi sasa kwa imani yake hiyo, kule kwao wanauawa wakisema tu kuwa wao ni wa hilo dhehebu.
Sawa, ndugu.
 
Muhimu: Uzi huu umejikita kwa mazingira ya Tanzania na sio nchi za nyingine

Hii ni kwa sababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel ndani ya kanisa, wapo wanaotaka dhehebu liwe la jumamosi, wapo wanaotaka dhehebu linaruhusu kula nguruwe, wapo wanaotaka dhehebu linalohamasishwa kunywa pombe kwa kigezo cha mnywaji, wapo wanaotaka dhehebu la kuhuburi kwa nguvu na kukekemea utafkiri wanaemuomba ni kiziwi.

Wapo wanaotaka dhehebu linaloruhusu wanawake kuhubiri, wapo wanaotaka dhehebu linalombana padre asije kujamiana maisha yake yote ilhali ni mwanaume rijali mwenye matamanio , wapo wanaotaka kubatizwa kwa kutumia kikombe cha chai na si kuzamishwa, n.k

Mipasuko ya madhehebu inaendelea kila tofauti zinapotokea, mpaka hapa tulipo kuna madhehebu yapatayo zaidi ya mia ya kikristo nchini Na kila dhehebu linadai kuwa lipo sahihi kuliko lingine

Katika Watanzania 100 unaweza kukuta waislmu 35 (kati ya hawa utawakuta 33 dhehebu kuu napengine wawili madhehebu mengine), upande wa kikiritsto utawakuta waroma 25, waluteri 15, wasabato 10, na wengine waliobaki wakiwa wamegawanyika kwenye madhehebu kibao huko kwa Masanja mkandamizaji, Tag, Moravian, Mashaidi wa Yehova, efata, kwa kina Gwajima, Lusekelo, kwa Kakobe, mwamposa, mwakasege , kuhani Musa, jodevi, shila, n.k

Kwa hali hii ambayo wakristo wametenganika sana ni dhahiri kwa sasa waislamu ndio wanoongoza kwa kuwa wengi katika imani moja.
Sunni, Ahmadiyya, Shia
 
Na sisi wauslamu ni hivyohivyo tumeganyika,fanya utafiti kwa makini
 
Kanisa katoliki sio wajinga kutoruhusu mapadri kuoa, waliona shida kuu iliyopo. Hivi unajua shida ya wachungaji wenye wake walioa wanayopitia, ukidhani shetani ameacha kumdanganya Hawa hadi kesho ujui maandiko. Katoliki wangeruhusu mapadri waoe kitambo Sana lingeshasambaratika. Pamoja na madhebu yote ya Kikristo duniani idadi ya waumini wao kwa ujumla haiwezi fikia idadi ya wakatoliki duniani.
 
Mwamposa sio dhehebu ile ni huduma ya kiroho amekusanya madhebu yote kuanzia waislamu, wakristo wapagani nk
 
Kanisa katoliki sio wajinga kutoruhusu mapadri kuoa, waliona shida kuu iliyopo. Hivi unajua shida ya wachungaji wenye wake walioa wanayopitia, ukidhani shetani ameacha kumdanganya Hawa hadi kesho ujui maandiko. Katoliki wangeruhusu mapadri waoe kitambo Sana lingeshasambaratika. Pamoja na madhebu yote ya Kikristo duniani idadi ya waumini wao kwa ujumla haiwezi fikia idadi ya wakatoliki duniani.
hapa kuna ukweli ndani yake. Nakumbuka Masanja alikuwa anasali mito ya Baraka baada ya kuoa kafungua kanisa lake.
 
Muhimu: Uzi huu umejikita kwa mazingira ya Tanzania na sio nchi za nyingine

Hii ni kwa sababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel ndani ya kanisa, wapo wanaotaka dhehebu liwe la jumamosi, wapo wanaotaka dhehebu linaruhusu kula nguruwe, wapo wanaotaka dhehebu linalohamasishwa kunywa pombe kwa kigezo cha mnywaji, wapo wanaotaka dhehebu la kuhuburi kwa nguvu na kukekemea utafkiri wanaemuomba ni kiziwi.

Wapo wanaotaka dhehebu linaloruhusu wanawake kuhubiri, wapo wanaotaka dhehebu linalombana padre asije kujamiana maisha yake yote ilhali ni mwanaume rijali mwenye matamanio , wapo wanaotaka kubatizwa kwa kutumia kikombe cha chai na si kuzamishwa, n.k

Mipasuko ya madhehebu inaendelea kila tofauti zinapotokea, mpaka hapa tulipo kuna madhehebu yapatayo zaidi ya mia ya kikristo nchini Na kila dhehebu linadai kuwa lipo sahihi kuliko lingine

Katika Watanzania 100 unaweza kukuta waislmu 35 (kati ya hawa utawakuta 33 dhehebu kuu napengine wawili madhehebu mengine), upande wa kikiritsto utawakuta waroma 25, waluteri 15, wasabato 10, na wengine waliobaki wakiwa wamegawanyika kwenye madhehebu kibao huko kwa Masanja mkandamizaji, Tag, Moravian, Mashaidi wa Yehova, efata, kwa kina Gwajima, Lusekelo, kwa Kakobe, mwamposa, mwakasege , kuhani Musa, jodevi, shila, n.k

Kwa hali hii ambayo wakristo wametenganika sana ni dhahiri kwa sasa waislamu ndio wanoongoza kwa kuwa wengi katika imani moja.
Wewe hujielewi.Mbona kuna washia,wasuni,alkaida nk hata cku ya kufungua hutofautiana.
 
bila shaka kwa sasa waislamu ismailia wanakubali waislamu weusi waswahili mkasali kwenye msikiti wao. mmekuwa kitu kimoja. Hapo sijagusia bohoras, snashiri's etc......

theory yako mbovu ingekuwa sahihi tungeona wasuni na washia mmekuwa kitu kimoja. Bila kuwasahau hao ismailia, ahmadiya etc
 
Unajua kuna madhehebu mangapi ya kiislamu?

Je unajua Quran inayotumika Egypt ni tofauti na inayotumika Sudan ya kusini?

Unajua kuwa Quran inayotumiwa na waislam wa Sweden ni tofauti na ya Saudi Arabia?
Acha UONGO. Leta ushahidi mm nimefika nchi zote hizo na kitabu ni hiko hiko Dunia nzima. QURAN haina utofauti wowote popote uendapo Dunia hii.
 
watu wanaojitia wana dini ndio wanaosababisha matatizo duniani kuna nchi hazina dini wanaamini miungu yao ya kienyeji wana maendeleo sana , huku kwetu kwa ukiristu na uislam ndio matatizo kibaaaaao
 
Back
Top Bottom