Hata bila gloves moto utakaowaka utaona hadi ndani ya kanzu wamevaa niniPia Bakwata na shuraa ya maimamu nidini nyingine ,,Kama unabisha wafungie sheikh mkuu wa mkoa na ndg Ponda ndani halafu wape gloves uone kitakachotokea.
wapo wegi sana, mtu akijiskia kuanzisha kanisa lake hata leo ni fasta tuUmesahau kwa mwamposa,mwakasege , kuhani Musa....
Hpa tunazungumzia mazingira ya hapa kwetu Tanzaniai, Tukianza kuzungumzia dunia nzima hata wakristo wana madhehebu zaidi ya elf 45Waislamu wana madhehebu makubwa mawili yale ya wadtaarabu na wale siasa kali kuchinja mtu dakika tu.Boko haramu ,Alkaida ,ISIS, Alshabab nk nuksi hao hawatakai na waiskamu wenzao Bakwata hao washari hatari
Wakristo tunayo madhehebu mengi ila hayana Shari kwa dhehebu lingine au mtu akihama dini au dhehebu harangaziwi fatwa au kifo
kwa mjinga hawezi kuona tatizo ila kwa mwerevu anaejua hata mambo ya divide and rule lazima atafakariKuna tatizo ikiwa hivyo ?
Kanisa ni moja tu aliloacha Kristu na ndio linaitwa Katoliki yaani la ulimwengu. Na sio Roma. Soma historia vizuri. Hao wengine wamejitoa kwa matakwa yao na ndio madhehebu.Muhimu: Uzi huu umejikita kwa mazingira ya Tanzania na sio nchi za nyingine
Hii ni kwa sababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel ndani ya kanisa, wapo wanaotaka dhehebu liwe la jumamosi, wapo wanaotaka dhehebu linaruhusu kula nguruwe, wapo wanaotaka dhehebu linalohamasishwa kunywa pombe kwa kigezo cha mnywaji, wapo wanaotaka dhehebu la kuhuburi kwa nguvu na kukekemea utafkiri wanaemuomba ni kiziwi.
Wapo wanaotaka dhehebu linaloruhusu wanawake kuhubiri, wapo wanaotaka dhehebu linalombana padre asije kujamiana maisha yake yote ilhali ni mwanaume rijali mwenye matamanio , wapo wanaotaka kubatizwa kwa kutumia kikombe cha chai na si kuzamishwa, n.k
Mipasuko ya madhehebu inaendelea kila tofauti zinapotokea, mpaka hapa tulipo kuna madhehebu yapatayo zaidi ya mia ya kikristo nchini Na kila dhehebu linadai kuwa lipo sahihi kuliko lingine
Katika Watanzania 100 unaweza kukuta waislmu 35 (kati ya hawa utawakuta 33 dhehebu kuu napengine wawili madhehebu mengine), upande wa kikiritsto utawakuta waroma 25, waluteri 15, wasabato 10, na wengine waliobaki wakiwa wamegawanyika kwenye madhehebu kibao huko kwa Masanja mkandamizaji, Tag, Moravian, Mashaidi wa Yehova, efata, kwa kina Gwajima, Lusekelo, kwa Kakobe, mwamposa, mwakasege , kuhani Musa, jodevi, shila, n.k
Kwa hali hii ambayo wakristo wametenganika sana ni dhahiri kwa sasa waislamu ndio wanoongoza kwa kuwa wengi katika imani moja.
kama wewe unavyoamini hivyo basi ni kila dhehebu linadai kuwa lipo sahihi kuliko lingine.Kanisa ni moja tu aliloacha Kristu na ndio linaitwa Katoliki yaani la ulimwengu. Na sio Roma. Soma historia vizuri. Hao wengine wamejitoa kwa matakwa yao na ndio madhehebu.
Wapo. Hata kwenye shuhuda zao wansema walikuwa watu wa imani hiyo.Ebu wataje hao waislam walioanzisha makanisa.
Shura ya maimamu siyo dhehebu wao na bakwata wote ni Sunni sema hicho kikundi cha shura ya maimamu na vikundi vingine vingi kama hivyo watu wanavisajili wakati mwingine ni kwa maslahi binafsi sema wanajiegemeza kwenye dini.Pia Bakwata na shuraa ya maimamu nidini nyingine ,,Kama unabisha wafungie sheikh mkuu wa mkoa na ndg Ponda ndani halafu wape gloves uone kitakachotokea.
Madhehebu lazima yawepo maana watu wanatafsiri na mitizamo tofauti ya kikristo hivyo sio dhambi yakiwepo kama unahofia hilo unajipa wasiwasi wa bure tu.kwa mjinga hawezi kuona tatizo ila kwa mwerevu anaejua hata mambo ya divide and rule lazima atafakari
[emoji38]Hata bila gloves moto utakaowaka utaona hadi ndani ya kanzu wamevaa nini
Varangati litakalotokea lazima kanzu ifunuliwe ya kila mmoja kila mmoja akipiga yowe takbiriiiii!