Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana nilikuwa naangalia kuna tunnels zinaunganisha Nyumba hadi Nyumba Kijiji hadi Kijiji kwahiyo IDF ikilipua tunnel moja unaona mlipuko unavyosafiri kuanzia upande mmoja hadi mwingine Daah...!!Ndimo walimokuwa wanajificha hao magaidi na walikuja kusini mwa Lebanon kwa makusudi tu ili mradi wawe karibu na Israel.
Hezbollah wa JF si walikua wanasema Israel hajaweza kuteka kijiji hata kimoja?Source: Al Jazeera
View attachment 3142746
KUTOKA 7:3
"Mungu akamwambia Musa, nami nitaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, na nitazifanya ishara za ajabu katika Nchi ya Misri"
IDF wako Deep inside Lebanon.Si nasikia Israel hajasogea hata mita mia mbili kutoka mpaka wake kwenda mpaka wa rebanon
Sasa Hezbollah wa jf kwanini wanadanganyaIDF wako Deep inside Lebanon.
Hiyo yote ni pesa ya waajemi huku wananchi wengi wa Iran wakihangaika kuweka mlo mezani na huku vijana wao wengi wakiwa hawana ajira.Jana nilikuwa naangalia kuna tunnels zinaunganisha Nyumba hadi Nyumba Kijiji kwahiyo IDF ikilipua tunnel moja unaona mlipuko unavyosafiri kuanzia upande mmoja hadi mwingine Daah...!!
Chuki dhidi ya Waisrael ni real juzi kati Turkey imeshambulia Miji ya Wakurdi lakini husikii Watu kutokwa na Povu wala Maandamano.Hiyo yote ni pesa ya waajemi huku wananchi wengi wa Iran wakihangaika kuweka mlo mezani na huku vijana wao wengi wakiwa hawana ajira.
We sikiliza propoganda za wavunja majumba, huwa tunawambia vita sio kuvunja majumba na kuwauwa watu wasio na hatia Mnakumbuka ile Amad 4? Sa Hezbullah anawaonyesha Amad 5 hapo mchezo bado mbichi israel yuko hoi kwa Amad 4 tu. Afu anawambia kavunja silaha za Hezbullah 😄Source: Al Jazeera
View attachment 3142746
KUTOKA 7:3
"Mungu akamwambia Musa, nami nitaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, na nitazifanya ishara za ajabu katika Nchi ya Misri"
Ucje fananisha na hizi takatakaHiyo yote ni pesa ya waajemi huku wananchi wengi wa Iran wakihangaika kuweka mlo mezani na huku vijana wao wengi wakiwa hawana ajira.
Leo hizbollah wameonyesha base yao IMAD 5 sasa huko deep Lebanon wanazurura tu na kurusha mabomu maeneo gani kama sio kuua watu hovyo hizbollah kila siku wanaingiza silaha na mahitaji kutokea SyriaIDF wako Deep inside Lebanon.
Lengo la IDF ni kusafisha Hezbola Kusini ya Mto Litani ili Hezbola wasiweze kushambulia Kaskazini mwa Israel na Raia waweze kurejea, hilo ndio LENGO la VitaLeo hizbollah wameonyesha base yao IMAD 5 sasa huko deep Lebanon wanazurura tu na kurusha mabomu maeneo gani kama sio kuua watu hovyo hizbollah kila siku wanaingiza silaha na mahitaji kutokea Syria
Ni ngumu kitendo cha hizbollah kuwepo Lebanon tayari nitatizo kwakua wao wanaweza kushambulia popote pale kutokea Lebanon wana silaha hizo drones ni nightmare kwa IDFLengo la IDF ni kusafisha Hezbola Kusini ya Mto Litani ili Hezbola wasiweze kushambulia Kaskazini mwa Israel na Raia waweze kurejea, hilo ndio LENGO la Vita
Kama Hezbola haitaruhusu Israel waishi kwa Amani ninachokiona Israel hataruhusu Walebanon waishi kwa Amani sasa ninyi muache kulalamika acheni Mziki uendelee.Ni ngumu kitendo cha hizbollah kuwepo Lebanon tayari nitatizo kwakua wao wanaweza kushambulia popote pale kutokea Lebanon wana silaha hizo drones ni nightmare kwa IDF