imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
We sikiliza propoganda za wavunja majumba, huwa tunawambia vita sio kuvunja majumba na kuwauwa watu wasio na hatia Mnakumbuka ile Amad 4? Sa Hezbullah anawaonyesha Amad 5 hapo mchezo bado mbichi israel yuko hoi kwa Amad 4 tu. Afu anawambia kavunja silaha za Hezbullah 😄
Tazama vitu hivyo karibu vitanza kuelekea Israel
View: https://youtu.be/TZwxfiZry1o?si=I5IQPO8FoopRIK73
Yatachomwa tu hayo mahandaki.