Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Wife karudi analalamika kuwa salon aliyokuwepo kuna mwanamke kaongea shit. Na kaongea shit mbele yake pasipo kujua.
Mwaka juzi mwezi May nlimwagizia wife Nissan Dualis baada ya kuwa analalamika kuwa amechoshwa na Harrier tako la Nyani. Hii gari nilimnunulia ni dualis ya mwaka 2010 achana na zile zenu nyingi za miaka ya nyuma kidogo.
Sasa akiwa salon akawa anahudumiwa na baadaye kuna mdada mmoja akawa amemaliza huduma akaondoka. Wanawake kama kawaida yao wakaanza msema.
"Anaringa sana na dualis yake. Gari yenyewe bora hata IST Dualis gari unaendesha una wasiwasi itashika moto. Hamna kitu pale. Bora angekuwa hata na IST"
Muda wote wanaongea hayo wife kanyamaza. Maana naye ana Dualis. Anasema waliponda sana. Na wengi wao hawakuwa hata na vitz old model wanatembea tu kwa miguu. Alishangaa wanapata wap guts za kuponda Dualis. Wife karudi amenyong'onyea sana. Na anataka iuza hii gari. Nikamwambia aongee na vijana wake. Madalali. Gari nzuri kama hii wanamwambia wampe mil 14.
Nimemwambia aachane nao. Abaki nayo imfie mikononi huo ujinga sitaki usikia. Tumenunua fire extinguisher mtungi wa kilo 2 na mwingine kilo 1 imekaa nyuma. Nlishampelekea kupata mafunzo ya kuzima moto. Maisha yanaendelea. Sitaki shida mimi.
Waswahili wanadharau vitu ambavyo hawawezi hata kumiliki. Ubwa kabisa hawa. Wamempa stress my wife wangu kipuuzi kabisa.