Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣DuMimi kukerana si ndo nina PHd huko. Navyopenda... Hatari sana. 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣DuMimi kukerana si ndo nina PHd huko. Navyopenda... Hatari sana. 😄
Toyota dualis 🤦♂️
Ndo nani huyo?hahaha!! utakuwa muhaya wewe!!?
Sana. Ni tanzania tu mtu anayetembea pekupeku anamcheka aliyevaa viatu
Nilipoona tu hapo nikaacha kusomaToyota dualis [emoji2357]
Toyota dualis [emoji2357]
Muuza Chipsi nisaidie na mimi nimununulie mke wangu ka IST mama kwa kipato hiki duh!Wife karudi analalamika kuwa salon aliyokuwepo kuna mwanamke kaongea shit. Na kaongea shit mbele yake pasipo kujua.
Mwaka juzi mwezi May nlimwagizia wife Nissan Dualis baada ya kuwa analalamika kuwa amechoshwa na Harrier tako la Nyani. Hii gari nilimnunulia ni dualis ya mwaka 2010 achana na zile zenu nyingi za miaka ya nyuma kidogo.
Sasa akiwa salon akawa anahudumiwa na baadaye kuna mdada mmoja akawa amemaliza huduma akaondoka. Wanawake kama kawaida yao wakaanza msema.
"Anaringa sana na dualis yake. Gari yenyewe bora hata IST Dualis gari unaendesha una wasiwasi itashika moto. Hamna kitu pale. Bora angekuwa hata na IST"
Muda wote wanaongea hayo wife kanyamaza. Maana naye ana Dualis. Anasema waliponda sana. Na wengi wao hawakuwa hata na vitz old model wanatembea tu kwa miguu. Alishangaa wanapata wap guts za kuponda Dualis. Wife karudi amenyong'onyea sana. Na anataka iuza hii gari. Nikamwambia aongee na vijana wake. Madalali. Gari nzuri kama hii wanamwambia wampe mil 14.
Nimemwambia aachane nao. Abaki nayo imfie mikononi huo ujinga sitaki usikia. Tumenunua fire extinguisher mtungi wa kilo 2 na mwingine kilo 1 imekaa nyuma. Nlishampelekea kupata mafunzo ya kuzima moto. Maisha yanaendelea. Sitaki shida mimi.
Waswahili wanadharau vitu ambavyo hawawezi hata kumiliki. Ubwa kabisa hawa. Wamempa stress my wife wangu kipuuzi kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna mwingine alisema Toyota range
[emoji23][emoji23][emoji23]very soon tutasikia Bugghatty vitz tako la mende [emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna mwingine alisema Toyota range
Wako sahihi kutembelea Dualis ni roho mkononi make sure fire ext ulionunua haijaexpire siku zile nyaya kule chini zikigusana mtaisoma namba [emoji28][emoji28]Wife karudi analalamika kuwa salon aliyokuwepo kuna mwanamke kaongea shit. Na kaongea shit mbele yake pasipo kujua.
Mwaka juzi mwezi May nlimwagizia wife Nissan Dualis baada ya kuwa analalamika kuwa amechoshwa na Harrier tako la Nyani. Hii gari nilimnunulia ni dualis ya mwaka 2010 achana na zile zenu nyingi za miaka ya nyuma kidogo.
Sasa akiwa salon akawa anahudumiwa na baadaye kuna mdada mmoja akawa amemaliza huduma akaondoka. Wanawake kama kawaida yao wakaanza msema.
"Anaringa sana na dualis yake. Gari yenyewe bora hata IST Dualis gari unaendesha una wasiwasi itashika moto. Hamna kitu pale. Bora angekuwa hata na IST"
Muda wote wanaongea hayo wife kanyamaza. Maana naye ana Dualis. Anasema waliponda sana. Na wengi wao hawakuwa hata na vitz old model wanatembea tu kwa miguu. Alishangaa wanapata wap guts za kuponda Dualis. Wife karudi amenyong'onyea sana. Na anataka iuza hii gari. Nikamwambia aongee na vijana wake. Madalali. Gari nzuri kama hii wanamwambia wampe mil 14.
Nimemwambia aachane nao. Abaki nayo imfie mikononi huo ujinga sitaki usikia. Tumenunua fire extinguisher mtungi wa kilo 2 na mwingine kilo 1 imekaa nyuma. Nlishampelekea kupata mafunzo ya kuzima moto. Maisha yanaendelea. Sitaki shida mimi.
Waswahili wanadharau vitu ambavyo hawawezi hata kumiliki. Ubwa kabisa hawa. Wamempa stress my wife wangu kipuuzi kabisa.
Nilikuwa naitafuta hii comment. Uzi ufungwe.Toyota dualis [emoji2357]
Hivi shule mnafungua lini?.Wife karudi analalamika kuwa salon aliyokuwepo kuna mwanamke kaongea shit. Na kaongea shit mbele yake pasipo kujua.