Hadi wanawake wenzake nao wamemdharau? Imenikwaza sana

Muuza Chipsi nisaidie na mimi nimununulie mke wangu ka IST mama kwa kipato hiki duh!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna mwingine alisema Toyota range

[emoji23][emoji23][emoji23]very soon tutasikia Bugghatty vitz tako la mende [emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]very soon tutasikia Bugghatty vitz tako la mende [emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa kweli humu jf kuna vituko sana
 
Wako sahihi kutembelea Dualis ni roho mkononi make sure fire ext ulionunua haijaexpire siku zile nyaya kule chini zikigusana mtaisoma namba [emoji28][emoji28]
 
Niliposoma tuu uzi nikapanda juu kucheki ni nani kaandika nilivyojua ni wewe nikapita kushoto fasta.
 
Sijaelewa hapo mke ni yupi kati ya saloon au gari.kama ni huyo "my wife" aachane nae aoe iyo gari au hao wanaomsema
 
Hivi shule mnafungua lini?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…